afrika

  1. JamiiForums Tanzania Serikali imegharamia safari ya kwenda Afrika Kusini kwa mashabiki 48 wa Yanga SC

    Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya marudiano Afrika Kusini, Mamelodi wataendelea kupigiana pasi na golikipa wao?

    Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini? Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu zilizopelekea Dini za Hinduism na Budhism kushindwa kumea Afrika

    Hinduism na Budhism ni miongoni mwa Dini za kale sana zenye wafuasi wengi katika bara la Asia. Hinduism ndio Dini namba moja ya kale zaidi katika uso wa Dunia ikisemekana kuanzishwa miaka 1500 nyuma kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Hinduism ilianzia kwenye Nchi ya India na Nepal, na sasa ina...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 45 wafariki baada ya Basi kuanguka kwenye daraja, Msichana wa Miaka 8 anusurika

    AFRIKA KUSINI: Watu 45 wamefariki Dunia baada ya basi walilokuwamo kutumbukia umbali wa Mita 50 katika korongo na kuwaka moto huku Msichana mwenye umri wa miaka 8 akijeruhiwa katika Jimbo la Limpopo Basi hilo lilibeba Waumini waliokuwa wakisafiri kutoka Gaborone, Botswana kuelekea Mji wa Moria...
  5. JamiiForums Tanzania Paul Makonda apewe Ubalozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au Burundi?

    Salaam Wakuu, Kwa kuwa ameonekana kutokukubaliana na Sera za Rais Samia, alitakiwa ajiuzulu bila Shuruti. Paul Makonda ni Mwenezi wa CCM na Samia Suluhu ni Mwenyekiti. Mwenezi hakubaliani na Mwenyekiti, anatakiwa aachie ngazi kuliko kutengeneza mtatandao wa matajiri kwa nia Ovu. Siku zote...
  6. JamiiForums Tanzania Wasomi tusaidieni kuunganisha mashirika ya ndege Afrika

    Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k. Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje? Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame: Felix Tshisekedi ni mgombanishi nambari moja eneo hili la Afrika

    Felix Tshisekedi mgombanishi anataka kuzigonganisha jumuiya ya SADC dhidi ya EAC asema rais Paul Kagame ktk mahojiano exclusive. M23 ni wa Congole wanapigana huko DR Congo Mashariki kutokana na matatizo ya kina Felix Tshisekedi kiasi kwamba tayari tuna wakimbizi zaidi ya 100,000 waliokimbilia...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  9. JamiiForums Tanzania African laguages and their families

    AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES What is Language? language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves. What is Language family? A language family is...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika kutia huruma sio solution badilikeni

    Wa Afrika wanajulikana duniani kote kwa ulafi wa madaraka pasipo kufanya maendeleo ya kuridhisha katika nchi zao. Haikubaliki kiongozi kukaa muda mrefu katika uongozi kana kwamba nchi ya baba yenu, Kwamba kwasababu wewe umeingia msituni kupigania nchi ndio huifanye nchi ya baba yako. Umri...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika walimbwende wapo South Africa na Nigeria, kwamba Tanzania wamejaa sura za baba tu how come?

    Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt. 👸🏻 Miss World titles: 🇮🇳 India: 6 🇻🇪 Venezuela: 6 🇯🇲 Jamaica: 4 🇬🇧 UK: 4 🇿🇦 South Africa: 3 🇺🇸 USA: 3 🇮🇸 Iceland: 3 🇸🇪 Sweden: 3 🇨🇿 Czechia: 2 🇵🇱 Poland: 2 🇵🇷 Puerto Rico: 2 🇨🇳 China: 2 🇷🇺 Russia...
  12. JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika katika magari ya nishati mpya una mustakabali mzuri

    Adam Selassie ni dereva wa basi dogo mjini Addis Ababa, Ethiopia. Siku hizi anafurahi sana, kwani amepata gari jipya la umeme. Gari hilo limeagizwa kutoka China, na hadi sasa, kuna madereva wengi kama Adam ambao wamebadilisha msbasi yao yanayotumia petroli kuwa mabasi ya umeme. Kwa maoni yao...
  14. JamiiForums Tanzania Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans." Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
  15. L

    JamiiForums Tanzania 'Mkutano wa demokrasia' wa Marekani wakosolewa Afrika

    Wiki hii, kile kinachoitwa "Mkutano wa tatu wa Demokrasia" unaoongozwa na serikali ya Marekani ulifanyika huku kukiwa na utata mwingi. Gazeti la "The Standard" la Kenya lilitoa tahariri yenye kichwa cha "‘Mkutano wa Demokrasia’ waonyesha kiburi cha Marekani,” likisema kwamba Marekani inachukulia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba. Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kufuta falsafa - Afrika tunatengenezwa mataahira

    (Sehemu ya Kwanza) UTANGULIZI Andiko langu hili limelipanga katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza inahusu nadharia tete zangu kuhusiana na mdororo wa elimu na mmomonyoko wa maadili katika nchi za Kiafrika na kati ya watu weusi tuishio barani Afrika kwa ujumla. Sehemu ya pili inahusu mkasa...
  19. JamiiForums Tanzania Eric Prince asema ni wakati Afrika itawaliwe tena. Haya ni matusi, lakini inafikirisha

    Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu. Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote. Kauli hii inasikitisha. Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama...
  20. JamiiForums Tanzania Urithi wa Bendi ya Osibisa katika muziki wa Afrika

    Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya kupitapita mitaa kuuliza kuhusu bendi za muziki ambazo zimepata kuwa maarufu kwa kuzunguzma ukuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…