Mwendesha mashtaka wa ICC: Niliambiwa hii Mahakama ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kama Putin.

Hilo mbona liko wazi hata kabla ya yeye kusema hivyo,
hiyo inajulikana na inaonekana wazi kabisa toka mwanzo.
 
Eti ICC inataka kutoa waranti ya kuwakamata viongozi wa juu wa Israel na wa Hamas! Hili zoezi litawezekana kweli au ni abrakadabra tu?
 
Ulaya mashariki siyo magharibi.
Kwani mkuu, mtu akisema magereza zipo kwa ajili ya wahalifu na vibaka, anakuwa amekosea?

Viongozi wengi wa ulaya magharibi wanajitambua, wahuni wengi wako Afrika, na ndio maana wako bize kumuunga mkono mhuni mwenzao Putin.
 
Back
Top Bottom