Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,832
20,037
Tanzania - Chanzo cha Binadamu
Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu wanavyokwenda Vatican, Israel na Mecca Kuhiji tunaweza tukapata watu lukuki kuja hapa Tanzania - Motherland

Tanzania Chimbuko la Wana-Mapinduzi Afrika - Dar es Salaam was a mecca for Third World liberation movements,
Alishanukuliwa Museveni akisema kwamba Tanzania ni Hijja ya Afrika..., wengi wanamapinduzi walipitia Dar es Salaam hasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Harakati zao za Mapinduzi..., Hata jina lenyewe tu Bandari ya Salama lilitokana na Sultan mmoja baada ya kukimbia huko na kuweza kujificha DSM

Ni wengi wamepitia Tanzania kina Eduardo Chivambo Mondlane, Walter Rodney, hata Malcom X alishafika DSM

Jinsi ya Kuunganisha Vyote hivyo Viwili - (Madamme Tussaud kama Mfano)
Ni vigumu kuwaleta na kupeleka umati wa watu huko Olduvai Gorge huenda wakaharibu Mazingira pia ni mengi ya Kuona na kufanya Bongo huenda wasipate muda wa kufanya yote hayo. Sasa badala ya kuwapeleka huko, Huko kunaweza kuletwa kwao ili watalii wapate radha yote under one roof..., Nikichukulia mfano wa Madame Tussaud iliyopo Uingereza ni moja ya kivutio kikubwa cha watalii wengi wakienda huko kuona midoli ya watu mashuhuri, jambo ambalo tunaweza kufanya huku kwa kuwa na statue za hawa wanamapinduzi pamoja na historia zao..., Yaani historia nzima inaweza ikawa re-enacted hata vita vya majimaji n.k. kwa watu kuweza ku-experience.

Madame Tussauds is a wax museum founded in London in 1835 by the French wax sculptor Marie Tussaud.One of the early main attractions was the Chamber of Horrors, which appeared in advertising in 1843.

In 1883, the restricted space of the original Baker Street site prompted Tussaud's grandson (Joseph Randall) to commission the building at its current London location on Marylebone Road. The new exhibition galleries were opened on 14 July 1884 and were a great success. Madame Tussaud & Sons was incorporated as a private limited company (Ltd.) in 1889.

A major tourist attraction in London since the Victorian era, Madame Tussauds displays the waxworks of famous and historical figures, as well as popular film and television characters played by famous actors. Operated by the British entertainment company Merlin Entertainments, the museum now has locations in cities across four continents, with the first overseas branch opening in Amsterdam in 1970.
Utaona hapo juu hao jamaa walikuwa na Chamber of Horrors kama Attraction kubwa kwahio huku kunaweza pia kukawa na Sehemu ya Vita vya Majimaji watalii wa ndani wanaingia humo na kupata mikikimiki waliyopata kina Mkwawa
 
Vipi humu hakuna wadau wa hii Tasnia ya Utalii ? , Binafsi naona hapa kuna Gap fulani inaweza kuwa tapped...
 
wao wananunua midoli na kuiweka bungeni
Ila seriously hili jambo hata Serikali isipofanya nadhani wadau wa hii Tasnia wanaweza kutia neno..., au huenda kuna sehemu nimekosea / nimeteleza ndio maana hawajalivalia njuga hili jambo..., Lakini kwa Tanzania tuna mambo ya kujitangaza ambayo pengine hayapo.., Badala ya kusema tujenge tuwe kama Dubai inabidi tuwe unique hadi watu kule waseme tufanye hiki tuwe kama Tanzania...
 
hao wadau wakitaka kuanzisha jambo watawekewa restrictions kibao..
 
hao wadau wakitaka kuanzisha jambo watawekewa restrictions kibao..
Serikali kama Serikali kufanya ni ngumu lakini wadau waliopo katika field wanaweza kufanya ili wapate pesa..., Ndio maana Mahoteli mengi ya Kitalii n.k. sio kwamba yanamilikiwa na Serikali..., ni kwamba mwisho wa siku serikali inawasaidia...

Mfano ukiweka Jengo la Makumbusho - Huenda lisiingize hata sumni na litaitia hasara serikali katika uendeshaji lakini wadau binafsi wakiweka hili jambo na kuwatoza watu pesa huenda wakapata pesa - mfano mashule kwenda visiting ili kupata radha ya kitu ki-uhalisia...
 
shukrani
 
Back
Top Bottom