afrika

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

    Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli. Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora...
  2. JamiiForums Tanzania Idadi ya maambukizi ya Corona Afrika yapita milioni moja

    Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika imezidi milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za chuo kikuu cha Johns Hopkins, lakini bara hilo linaonekana kuwa na mlipuko mkubwa zaidi. Nusu ya maambukizi yanatoka katika nchi moja tu, Afrika Kusini. Kuna kiwango kidogo cha upimaji katika...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini na Misri tu hatujazifikia hata kwa 25% je, hizo London, New York na Paris ndiyo tutazifikia haraka?

    “Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM East Africa Television - News Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haipaswi kuwa uwanja wa mapambano ya Vita Mpya Baridi

    Wakati mvutano kati ya China ukiendelea kutokea, bara la Afrika linatajwa kuwa uwanja mpya unaotumiwa na Marekani kuishambulia China. Marekani imekuwa ikishambulia nakukosoa ushirikiano kati ya China na Afrika, na kujaribu kutumia fursa mbalimbali kuupaka matope ushirikiano kati ya China na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

    Siku zote tunawakumbushia humu, siri ya Wakenya ni kujituma, hatuna madini ila tunaongoza kwenye kila kitu kinachohitaji matumizi ya ubongo. Uganda wamejitutumua na Makerere yao, ila Tanzania bandugu wa kusini aka 'walalamikaji' sijui wako namba ngapi au hata kama wana habari za haya mambo, wao...
  6. JamiiForums Tanzania The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru

    The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru. Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii kwanza: Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za...
  7. JamiiForums Tanzania "Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

    Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili. Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

    Imebainika Kenya itakua ya tatu Afrika kunufaika kutokana na kufunguliana kwa Afrika, huu ndio umuhimu wa kuwa na watu wenye hulka ya kujituma na ujasiri wa kutoka. Afrika inabadilika, Afrika mpya isiyo ya taswira ya kuomba omba, ila Afrika ya biashara na viwanda, japo kuna baadhi wamenunia...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linataka kumpaisha kisiasa Tundu Lissu kama ambavyo walifanya Makaburu wa Afrika Kusini kwa Nelson Mandela?

    Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Shule Afrika Kusini zafungwa tena

    Moja kwa moja kwenye mada. Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu. Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na kujidanganya. Korea kusini, China nk, nako wanapita katika hali kama hizo hizo. Marekani ya Trump sasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Watu 572 wapoteza maisha Afrika Kusini kwa saa 24 zilizopita

    It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world. We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit. Probably more people move from China to the US in a week...
  12. JamiiForums Tanzania AFRIKA BARA GIZA: Were there xenophobic attacks against black foreigners or just diplomatic and political standoff between South Africa and Nigeria?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania eti; Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH...
  13. JamiiForums Tanzania Corona Afrika ya Kusini, Marekani na Ulaya ilishaisha, wanatishia ili watu wasiende (ni uchoyo hawataki wageni)

    Nimeshtuka, Wazungu ni wajanja, wanatuzuga wana Corona kumbe haipo kwa kiwango kinachotangazwa, ili tu wahamiaji wakate tamaa, ukweli ni kwamba Corona ilishaisha mfano hai watu waliandamana kwa maelfu lakini hakuna aliyekufa, Wazungu fungueni mipaka tuje. Asante.
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika, yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais

    Mahakama ya Afrika yaitaka Tanzania kubadili Katiba kuruhusu Wananchi kupinga matokeo ya Kura za Urais Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imetoa uamuzi kuwa Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Tanzania inayokataza matokeo ya urais kupingwa Mahakamani inakiuka Ibara ya 1,2, 7(1)(a) ya Mkataba wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri Chama tawala Afrika Kusini (ANC) kibadili jina liwe (ACA)

    THINKING ON SOUTH AFRICA CHANGES by DON NALIMISON. Changing a name of Rulling Political Party AFRICAN NATIONAL CONGRESS (ANC) to be ARENA FOR CORRECTION OF AFRICA(ACA). I DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Advisor, I am in thinking to help South Africa Nation to make...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kurejesha masharti ya kutokutoka nje. Uuzaji wa pombe kupigwa marufuku

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Jumapili alitangaza kwamba serikali yake itarudisha marufuku iliyokuwepo ya uuzaji wa pombe na curfew ya kutoka nje usiku Hii alisema ni katika juhudi za kupunguza misongamano ya majeruhi, inayoshuhudiwa kwenye...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Viongozi wa Afrika hawaoni shida kusema wameshinda kwa 100%

    Mzee Membe ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba viongozi wa Afrika hawaoni shida wala aibu kusema wameshinda kwa 100% wakati nyuma ya pazia kuna ubabe na ushetani. Binafsi sijamwelewa Membe kwa sababu viongozi hawajitangazi wenyewe bali hutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

    DON NALIMISON, I DECIDED TO LEAVE AFRICAN POLITICS FOR THE PURPOSE OF BULDING NEW AMERICAN(U.S.A). I was a Politician in Africa in Tanzania for many years for nothing without gaining support for changing African Continent thinking capacity. Africans in Africa do not need changes only they need...
  19. JamiiForums Tanzania Pro. Nderakindo Kessy bado ni mhimu sana Afrika Mashariki

    Hon. Professor PERPETUA NDERAKINDO KESSY. The only WOMAN in East African Countries who was EALA Parliament Member to whom I can not forget her Legacy and her Credibility in Building New Society.Live long mama.@DON NALIMISON.
  20. JamiiForums Tanzania Kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kufunika nchi zote Mashariki mwa Afrika

    Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona. Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…