afrika

  1. JamiiForums Tanzania Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

    Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
  2. JamiiForums Tanzania Corona yasitisha Vita Bara Afrika

    Wababe wa Vita barani. Wamejipa lockdown kiaina kusikilizia Kirusi Cha Korona. Hakuna Cha Somalia, Congo wala Central African Republic. **Hakuna mbabe kwenye kubanwa mbavu.
  3. JamiiForums Tanzania Afrika kusini si nchi salama sana kwa wageni

    Hapa anaonekana mmozambiki akichomwa kisu.Huyu jamaa alifariki dunia baada ya kuchomwa kisu cha moyo
  4. JamiiForums Tanzania Tarehe 19 February ni Birthday ya Meneja bora wa Kampeni za Mgombea Urais Barani Afrika , Amani Golugwa

    Binafsi namtakia kila la heri na namuomba Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu . Huyu mtu mambo aliyoyatenda kwenye ule ulioitwa uchaguzi mkuu wa octoba 2020 nchini Tanzania yatakumbukwa Daima
  5. JamiiForums Tanzania Tupa kule Mondi, kutana na Grand P celeb anayemiliki mtoto mkali Afrika nzima

    Grand P katika pozi Kiboko ya Grand P anaitwa Eudoxie Mtot mkali akiwa paris, shukrani kwa Grand P
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  7. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

    Naaaaam Barabara kabisa, Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa nyumbani wa Timu ya AS VITA CLUB ambapo kuna "patashika nguo kuchanika" au unaweza kusema kipute...
  8. JamiiForums Tanzania Bila malaria wazungu wangetuangamiza na kukaa Afrika

    Kila sehemu walikoenda, lengo kuu la wazungu ilikuwa na kuanzisha makazi napya na kuangamiza jamii ya hapo. Wamewaangamiza wa Aborigines wa Australia hadi wamebaki wa kuhesabu. Huko Amerika wamewaangamiza Wahindi Wekundu na leo Wahindi Wekundu ni wa kuhesabu hapa na pale. Walitumia magonjwa...
  9. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Rais Dkt Magufuli dhidi ya ugonjwa wa Corona ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa Afrika

    MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa kiimani. Hivyo kwa wasomaji wangu ili uweze kunielewa juu ya makala hii utahitaji utulivu mkubwa wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona. Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya wazungu...
  11. JamiiForums Tanzania Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Tanzania kuhusu Korona uliotolewa katika kikao cha Umoja wa Afrika AU ni ubabaishaji

    Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni vikwazo gani Tanzania na baadhi ya nchi nyingine za Afrika zitawekewa baada kukataa chanjo ya Covid -19?

    Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  14. JamiiForums Tanzania China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

    Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetics...
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka nimetoka machozi, ujangili bado ni tatizo kubwa Afrika

    Tusipokuwa makini wajukuu zetu hawatapata urithi wowote.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

    Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
  18. JamiiForums Tanzania UNHCR: Miezi miwili ya ghasia Afrika ya Kati, watu 200,000 wamekimbia makazi yao

    Shirika la Kimataifa la Kuhughulikia Wakimbizi (UNHCR) limetoa madhara ya machafuko yanayoendelea Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo yakiendelea yatawaweka makumi elfu ya watu katika hali mbaya Hali ilivyo sasa ni kuwa zaidi ya watu 200,000 wamehama makazi yao, ambapo watu 92,000 wamezifikia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Africa vs Developed Countries = Women vs Men

    Ndiyo! Afrika dhidi ya nchi zilizoendelea ni sawa na wanawake dhidi ya wanaume. Wanawake wana kauli mbiu nyingi, ikiwemo Ile ya "wanawake tunaweza''. Sawasawa na Waafrika. Kwa nini? Kila siku waafrika wanajigamba, "sisi tunaweza, sisi ni matajiri" lakini nchi zilizoendelea wao wametulia tu...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika tumepoteza utamaduni wetu, madam Rais amevaa kimagharibi

    Afrika tumepoteza utamaduni wetu. Rais ni alama ya nchi, madam Rais angevaa vazi la asili la Ethiopia angeweza kuitangaza nchi yake zaidi. Nikiwa shule ya msingi , Waziri Mkuu wa India, Bi Indira Ghandi (RIP) alitembelea Tanzania akiwa ndani ya vazi la Sari. Sijawahi kumuona mama huyu enzi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…