AFRIKA BARA GIZA: Were there xenophobic attacks against black foreigners or just diplomatic and political standoff between South Africa and Nigeria?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
7,253
2,000
20200716_152047.png

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Ndugu zangu watanzania eti;

Were there xenophobic attacks against black foreigners or there was diplomatic/political standoff between SOUTH AFRICA and NIGERIA?

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba;

Mnamo mwanzoni mwa mwezi wa September mwaka jana 2019, vurugu mpya kabisa zilianza tena dhidi ya wageni waishio katika baadhi ya maeneo nchini Afrika ya Kusini.

Makumi ya watu waliuawa baada ya makundi ya watu wenye msimamo mkali kuvamia, kuiba na kuchoma moto maduka pamoja na magari katika maeneo kama Pretoria na Johannesburg.

Raia wa kutoka nchini Nigeria, ambao ndio waafrika wenye idadi kubwa waishio nchini humo, walikuwa miongoni mwa wahanga wakubwa waliolengwa katika mkasa huo.

Police wa Afrika ya Kusini walikamata watu wapatao 700 kutokana na vurugu hizo, habari ambazo zilisambaa ulimwenguni kote.

Raia kutoka katika mataifa mbalimbali walibeba vitu vyao na kuondoka nchini Afrika ya Kusini, miongoni mwao kulikuwa na raia takribani 600 kutoka nchini Nigeria, waliopanda ndege kwa gharama zao binafsi.

Hasira dhidi ya vurugu hizo zilitapakaa Afrika nzima na kisha Nigerians wakaamua pia kuchoma moto, kuiba na kushambulia Supermarkets kubwa zinazomilikiwa na raia wa South Africa pamoja na matawi ya kampuni ya mawasiliano ya MTN katika miji ya Lagos na Abuja.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
kwakina itafakari

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
245
250
View attachment 1508906

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher

Nani aliyekwambia Wapopo ndio raia wa kigeni walio wengi ndani ya Mzansi?
 
Don Vill

JF-Expert Member
May 4, 2020
237

Rubbish ! ,mijitu myeusi unafiki Tu , Mnashindwa kuwajali raia wenzenu hapa , polisi Kwa kuongozwa na genge la CCM wanabambikizia kesi wapinzani , wanaua na kuteka raia kila siku mko kimya Tu , Leo hii mnajidai kuongelea ya Nigeria na South Africa , .

Yanayoendelea Tanzania ni zaidi ya yanayoendelea South Africa ...

Hypocrites ! FIX YOUR OWN MESS IN YOUR GODAMN BACKYARD .... .
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
7,253
2,000
Rubbish ! ,mijitu myeusi unafiki Tu , Mnashindwa kuwajali raia wenzenu hapa , polisi Kwa kuongozwa na genge la CCM wanabambikizia kesi wapinzani , wanaua na kuteka raia kila siku
kwa hiyo umeamua kuja na ID mpya ili unitukane? eti boss? Alfu police wa Tanzania na CCM wanaingiaje hapa wakati mimi ninaongelea mambo ya South Afica na Nigeria?@
 
American 2021

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
537
500
Rubbish ! ,mijitu myeusi unafiki Tu , Mnashindwa kuwajali raia wenzenu hapa , polisi Kwa kuongozwa na genge la CCM wanabambikizia kesi wapinzani , wanaua na kuteka raia kila siku mko kimya Tu , Leo hii mnajidai kuongelea ya Nigeria na South Africa , .

Yanayoendelea Tanzania ni zaidi ya yanayoendelea South Africa ...

Hypocrites ! FIX YOUR OWN MESS IN YOUR GODAMN BACKYARD .... .
Acha maneno yako ya shombo mkuu
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
7,253
2,000
Leo hii mnajidai kuongelea ya Nigeria na South Africa , .

Yanayoendelea Tanzania ni zaidi ya yanayoendelea South Africa ...

Hypocrites ! FIX YOUR OWN MESS IN YOUR GODAMN BACKYARD .... .
Umeandika kwa hasira na jazba kuwa mno. Punguza hasira mkuu
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,744
2,000
iwapo mtoa mada ungekuwa Msauz Africa,usingeandika haya!! Wanaijeria wameiharibu South Africa kwa madawa ya kulevya na Kuuza mabinti wa Kisauzi kingono kiasi kwamba nchi aina amani socially. ulinza au fanya tafiti uone jinsi gani wanaija wanaharibu SA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom