Siku niliyoenda Afrika Kusini ndipo nilipoelewa kwa nini watu wengi kule wanaonekana wanene.
Nilipata nafasi ya kutembelea Pretoria. Kitu kilichonishangaza ni kwamba ilikuwa vigumu sana kupata vyakula vya asili kama tulivyozoea Afrika Mashariki.
Maduka mengi na migahawa mingi ilikuwa imejaa...
Mfanyabiashara wa Afrika Kusini, Vusimusi "Cat" Matlala, amekiri makosa ya rushwa, udanganyifu na utakatishaji wa fedha katika kesi kubwa inayohusu ufisadi ndani ya Jeshi la Polisi.
Matlala anadaiwa kuwahonga maafisa waandamizi wa polisi ili kampuni yake ya huduma za afya, Medicare24, ipate...
Mfanyabiashara Afrika Kusini, Vusimuzi "Cat" Matlala, amekiri mashtaka yote saba yanayomkabili kwenye kashfa ya ufisadi wa zabuni ya polisi (SAPS) yenye thamani ya Randi milioni 228, inayohusisha kampuni yake ya Medicare24.
Matlala alikuwa anakabiliwa na mashtaka saba ya utapeli, ufisadi, na...
Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini ilisema Jumanne kwamba familia ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu ndiye yenyen maamuzi ya wapi atakapozikwa kiongozi huyo wa zamani, na kubatilisha amri ya mahakama kuu kwamba serikali ya Zambia inaweza kuurudisha nyumbani mwili wa Lungu kwa mazishi ya...
Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
Wakati muda wa mwisho uliowekwa na makundi yanayopinga wageni nchini Afrika Kusini unakaribia, maelfu ya raia wa kigeni wanakusanya virago na kuondoka.
Makundi hayo yametoa muda wa hadi Juni 30 kwa raia wote wageni kurejea makwao wakisema baada ya muda huo watafanya msako na kutumia nguvu...
Huku kukiwa na malalamiko yanayoongezeka yanayohusiana na mzozo wa uhamiaji wa nchi hiyo, wasanii wa Afrika Kusini wanaripoti kufutwa kwa maonyesho yao na kupoteza mapato katika maeneo mbalimbali barani Afrika, afisa mmoja wa serikali amesema.
Mmamoloko Kubayi, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya...
Yapo mambo tunaweza bishana kuwa ama tumefanya vizuri ama tumefanya vibaya; lakini kwenye swala la demokrasia hata anayejifanya kutetea kuwa tunafanya vizuri, ukimwangalia usoni atakwepesha macho kwa aibu.
Kwenye swala la demokrasia nchi zetu nyingi hapa Afrika zivunja moyo. Tukiwa wakweli...
Ukweli mchungu na mchungu kweli.Asilimia kubwa ambayo bwana mwamedi msangi anazidi kuipambania utamkuta Facebook shukrani kwake ndio watu wanatakiwa kuwa serikalini ila vilaza wapo serikalini.
Vijana wengi wanadanganyika na kuambiwa na watanzania wenzao kuwa maisha yapo kule.
Mfano kuna nguvu...
Kila nchi na serikali yake zinajitahidi kuwasaidia raia wao kwa kinachoendelea.
Ila Tanzania ni sikio la kufa wala hata kujionesha kuwa wameguswa na kusaidia raia wao.Zaidi ya kukaa kimya kila ucheo.
Ndiyo, leo ndiyo siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026! ⚽🌎
Mexico itafungua Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini mjini Mexico City. Hii ni marudio ya mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2010, ambapo timu hizi zilitoka sare ya 1–1 nchini Afrika Kusini.
Jambo la kipekee ni kwamba Estadio...
Hivi karibuni kwenye mitandao mbalimbali kumeenea video kadhaa zikionesha raia wa Afrika kusini wakiwapiga na kuwafukuza raia kutoka maifa mengine barani Afrika kwa madai kwamba wamechukua kazi zao, pia ni sababu huduma nyingi za kijamii haziwafikii raia wa Afrika Kusini pamoja na hali ngumu kwa...
Polisi wa doria ya mipakani nchini Afrika Kusini wamekamata lori lililokuwa likitokea nchini Malawi likiingia nchini humo likiwa limesheheni dawa za kulevya zenye thamani ya karibu randi bilioni moja (sawa na dola milioni 61). Katika msako huo, vikosi vya usalama viligundua zaidi ya kilo 700...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akijibu swali Bungeni Dodoma leo Mei 26, 2026
"Katika nchi inayoongoza barani barani Afrika, nchini South Africa kuwa na vitambulisho halali vya Watanzania waliokuwa kule ni sisi Tanzania, wengi wana...
Ubalozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini umethibitisha kukamatwa kwa zaidi ya raia 90 wa Tanzania na kuwekwa katika Kituo cha Lindela kufuatia msako wa Wahamiaji Haramu unaoendelea Nchini humo.
Akizungumza kwa njia ya simu na AyoTv_ Balozi wa Tanzania Nchini humo James Bwana amethibitisha...
Aliyekuwa Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Naledi Pandor, pamoja na familia yake, walivamiwa na kushikiliwa kwa mitutu ya bunduki na majambazi wenye silaha nyumbani kwao mkoani Pretoria, usiku wa kuamkia Mei 23, 2026.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Kitaifa, Brigedia...
Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya...
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
Siku za hivi karibuni, taifa la Afrika Kusini limeendelea kukumbwa na changamoto ya kuongezeka kwa mashambulizi na vurugu za chuki dhidi ya wageni (xenophobia). Maandamano hayo yanadaiwa kulenga kuwaondoa raia wa kigeni nchini humo.
Pamoja na kuendelea kwa matukio hayo, kumekuwa pia na ongezeko...
Mahakama ya Juu kabisaAfrika Kusini imeamua kuwa Bunge lilivunja Katiba mwaka 2022 lilipozuia jitihada za kumwondoa Rais Ramaphosa madarakani (impeachment). Wakati huo, chama chake cha ANC kilitumia wingi wake wa kura bungeni kumlinda rais asichunguzwe zaidi.
Chanzo cha mgogoro ni nini?
Yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.