afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taasisi ya Thabo Mbeki: Tanzania kwa sasa haina Serikali halali, maridhiano ya kweli yatapatikana kwa kukiri kipi hakikwenda sawa ili kirekebishwe

    TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025 Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya! Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
  2. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo huu unaitwa "Amani hakuna" umeimbwa na mtanzania Mkiza Soul, mume wa Cherry

  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wa CHADEMA watafuta hifadhi nchini Kenya kuhofia usalama nchini Tanzania

    Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Paris yachunguza kifo cha Balozi wa Afrika Kusini Nchini Ufaransa

    Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne, Septemba 30, 2025. Diplomasia huyo mwenye umri wa miaka 58 alikuwa ameripotiwa kupotea na mke wake...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya Watatu wa Afrika Kusini Hajawahi Kusikia Kuhusu Akili Mnemba (AI)

    Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa benki wa mtandaoni, roboti za kiafya zinazojibu maswali, magari yanayojiendesha yenyewe, hata...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Afrika Kusini yakataa Rufaa ya familia ya Lungu, yaamuru azikwe Zambia

    Mahakama nchini Afrika Kusini imekataa ombi la familia ya aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu, waliotaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliomtaka azikwe nchini kwake. Lungu, aliyekuwa rais wa Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, alifariki dunia mwezi Juni 2025 akiwa na umri wa miaka 68 katika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Raia saba wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kusafirisha na kuwatumikisha raia wa Malawi Afrika Kusini kinyume na sheria

    Mahakama jijini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa kosa la kusafirisha binadamu kutoka Malawi na kuwalazimisha kufanya kazi kiwandani nchini Afrika Kusini. Kundi hilo lilikutwa na hatia Februari 25 kwa kuwasafirisha raia 91 wa Malawi wasio na...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Malema ajiunga kwenye vuguvugu la kufukuza wageni Afrika Kusini

    Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na kuzaliana huko, inapaswa kila mtu ajue siku raslimali zikipungua, wajukuu na vitukuu kwenye nchi yao...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Taifa stars mkiangalia mechi kati ya Uganda na Afrika kusini mtajifunza kitu

    Ushauri wa bure kwa makocha pamoja na wachezaji wetu wa Taifa Stars, pateni muda kisha tizameni lwa umakini mechi iliyo pogwa usiku huu kati ya jirani zetu Waganda na Wajukuu wa Mandele mtajifunza mambo mengi sana ambayo yatawaongezea kitu kuelekea robo fainali. Pia kwa upande wetu sisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

    1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa 2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua 3. Hana maajabu yoyote uwanjani 4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana 5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu 6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Kusini imetoa maamuzi ya Serikali ya Zambia kusimamia mazishi ya Edgar Lungu

    Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka kwa familia yake Mahakama Kuu ya Pretoria imetoa uamuzi huo kwa upande wa Serikali ya Zambia, ambayo...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea aahidi wajumbe akiwa mbunge, wajumbe watafanyia mikutano hoteli yenye kiyoyozi, na atawapeleka Afrika kusini kujifunza kuhusu bima

    Wakati watiania wanane wa ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kibamba wakiendelea kunadi sera zao, ameibuka mtiania Alphonce Temba aliyeahidi kuwapeleka wajumbe Afrika Kusini kwa ajili ya kujifunza masuala ya bima ya kifo. Amesema wataenda kupata elimu ya bima ya kifo itakayosaidia...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

    Historia: Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
  15. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kiiuchumi kwa Tanzania Kutokana na Machafuko ya Ubaguzi Afrika Kusini nafasi ya Bandari ya Dar es Salaam na Reli ya SGR kuelekea Dodoma

    Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha: Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini, Kupungua kwa imani ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amelaani tishio la Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa leo Jumatatu amelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS, akisema juhudi za Trump za "kuuadhibu" umoja huo zinawasikitisha. Trump amekuwa akilishutumu kundi hilo la mataifa 11 -- ambalo pia linajumuisha Brazil...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Funzo zuri kutoka Afrika Kusini: Vyombo vya Dola Tanzania vikatae Wanasiasa kuwa juu yao na kuingilia kazi zao

    Wiki hii nchini Afrika Kusini kuna habari nzito inatamba kuhusu Mkuu wa Polisi wa Jimbo la Kwa Zulu Natal Luteni Generali Nlanhia Mkhwanazi kumsema waziwazi mbele ya vyombo vya habari Waziri wa Masuala ya Polisi wa Afrika kusini kujihusisha na magenge ya kihalifu. Mkuu huyu wa Polisi alifikia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Faragha ya Edgar Lungu yasitishwa na Mahakama Kuu Afrika Kusini, baada ya Serikali ya Zambia kupeleka zuio mahakamani

    Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jana, Jumatano Familia ya Lungu, ambayo imepinga ushiriki wa Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, katika...
Back
Top Bottom