afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Kusini yaamuru Zambia kurejesha mwili wa rais wa zamani

    CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Edgar Lungu alisema hataki mrithi wake kwenye mazishi yake au "popote karibu" na mwili wake Mahakama ya Afrika Kusini imetoa amri ya kuurudisha mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, nchini humo, muda mfupi baada ya serikali ya Zambia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ona ukatili unaofanywa na Africa ya Kusini kwa wageni

    Wanawapiga wageni!
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mawakili wahaha kumnusuru Malema kukwepa kifungo jela

    Mawakili wa kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, wamewasilisha maombi wakati mchakato wa utoaji hukumu kwa kiongozi huyo ulipoanza katika Mahakama ya Hakimu KuGompo, katika eneo la Eastern Cape, leo Jumatano Aprili 15, 2026. Hakimu Twanet Olivier amesikiliza...
  4. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yakataza Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20

    Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama una laana?

    Laana ni nini? Kwa mujibu wa Biblia laana ina maana kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na; 1. Kuwa na maisha yasiyo zaa 2.Kutambaa (kuwa na hatua hafifu kwenye maisha) 3.Kufa, hapa namaanisha kifo cha mwili au kuishi maisha kama mfu. Au kuishi mahali ambapo kila kitu kimekufa. 4.Kuzaa watoto...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mtafuta hifadhi kutoka Tanzania ashambuliwa nchini Afrika Kusini huku akikabiliwa na upinzani wa “Hakuna vita Tanzania”

    Jamaaa kachezea kichapo huku wakimwambia arudi Tanzania hakuna vita https://youtube.com/shorts/r9bgzFwNXPY?si=zRzlcPttmfmZ2mVB
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balozi Bwana: Aliyepigwa na raia wa Afrika Kusini, si Mtanzania

    Kufuatia kusambaa kwa video kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana anayedaiwa kuwa Mtanzania akishambuliwa nchini Afrika Kusini, Balozi wa Tanzania nchini humo, James Bwana, amesema uchunguzi umebaini kuwa mtu huyo si raia wa Tanzania. Video hiyo, ambayo imekuwa ikisambazwa kwa wingi...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yadaiwa kufuta mwaliko wa Afrika Kusini kwenye mkutano wa G7 kwa shinikizo la Marekani

    Serikali ya Ufaransa imefuta mwaliko kwa Afrika Kusini wa kuhudhuria mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi saba tajiri zaidi duniani (G7) utakaofanyika mwezi Juni, hatua inayoelezwa kutokana na shinikizo kubwa kutoka kwa Serikali ya Marekani. Msemaji wa Rais wa Afrika Kusini, Vincent Magwenya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi Afrika Kusini anakabiliwa na kashfa ya Rushwa zabuni ya dola Milioni 21 (Tsh. Bilioni 54)

    Mkuu wa jeshi la polisi Afrika Kusini ametakiwa kufika mahakamani kuhusiana na kandarasi ya huduma za afya ambayo ipo chini ya uchunguzi wa jinai. Jenerali Fannie Masemola “amekabidhiwa notisi ya kufika mahakamani” tarehe 21 Aprili kutokana na madai ya kuhusika kwake katika utoaji wa zabuni...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mawaziri wa SADC wamalizika, wasisitiza miradi yenye tija kwa wananchi

    Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 13, 2026. Madhumuni ya mkutano huo yalikuwa ni kupanua kasi ya mtangamano wa kikanda kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ili kutengeneza ajira...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dickson Job afanyiwa upasuaji wa goti Afrika Kusini, kukaa nje miezi miwili

    Beki wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Dickson Job leo amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo, Machi 11, 2026 amesema kuwa upasuaji huo umeenda vizuri kwa beki huyo. Job aliumia goti katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Simba, Machi Mosi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wairan waishio Afrika Kusini wataka serikali ya Ayatollah iondolewe madarakani

    Operesheni ya "Lion Roar" inapoanza leo, tarehe 28 Februari, tunazungumza sio tu kama wanajamii wa Iran nchini Afrika Kusini, bali kama wana na mabinti wa taifa la kale ambalo historia yake inafungamana na ile ya Israeli. Katika wakati huu mtakatifu wa Purimu, wakati Wayahudi ulimwenguni kote...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapitia njia ya ANC ya Afrika Kusini, kiliwahi kuzuiwa kufanya siasa lakini ndicho chama tawala kwa sasa

    Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia. ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taasisi ya Thabo Mbeki: Tanzania kwa sasa haina Serikali halali, maridhiano ya kweli yatapatikana kwa kukiri kipi hakikwenda sawa ili kirekebishwe

    TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025 Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya! Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
  17. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo huu unaitwa "Amani hakuna" umeimbwa na mtanzania Mkiza Soul, mume wa Cherry

  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wa CHADEMA watafuta hifadhi nchini Kenya kuhofia usalama nchini Tanzania

    Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Paris yachunguza kifo cha Balozi wa Afrika Kusini Nchini Ufaransa

    Mamlaka ya Paris yanafanya uchunguzi juu ya kifo cha balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nkosinathi Emmanuel Mthethwa, ambaye alipatikana nje ya hoteli ya ghorofa nyingi siku ya Jumanne, Septemba 30, 2025. Diplomasia huyo mwenye umri wa miaka 58 alikuwa ameripotiwa kupotea na mke wake...
Back
Top Bottom