africa

  1. Usithubutu kuomba mkopo Bank of Africa (BOA)

    usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
  2. Kurudi kwa JR Junior East Africa radio kunaenda kumzima Rich msafi

    Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi, Rich msafi amebaki kama msindikizaji
  3. Selcom Pesa: The East Africa Market Disruptor

    Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
  4. Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
  5. Inspirational African Silhouettes

  6. P

    An eye on what’s happening in south africa: operation dudula

    Operation Dudula which is currently perceived as nationalistic movement against foreign nationals in South Africa is tarnishing the image of the country. Many People are now living in fear. Xenophobic indigenous people are committing crimes, harassing foreign nationals under pretext of taking...
  7. Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe. Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika...
  8. ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

    Ivi hawa jamaaa wanatumia CCTV Camera😂😂
  9. Afrika na dini, mzungu na rasilimali

    Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu. Hapa. Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣 Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao...
  10. Kesi ya Trump ya uhaini dhidi ya Obama itawapa nguvu zaidi madikteta wa Africa

    Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
  11. Ntaifanya Tanzania kuwa na better ecosystem ya mpira wa miguu Africa

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto za kuja kucheza ligi ya mpira ya Tanzania, wote tunafahamu culture ya mpira wa miguu Tanzania ni...
  12. Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...
  13. M

    Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  14. Je, hiki kinachofanywa na viongozi wa Afrika ni sawa?

    Kumekuwa na kasumba ya baadhi wa viongozi wa Africa kuabudu na kusujudu viongozi wa mataifa beberu Kiasi kwamba imekuwa ni aibu. Raisi wa Burkina Faso Traole alipoonana na Putin Kwa mara ya kwanza alipiga salute ilhali wote ni maraisi (wakuu wa nchi) wa nchi zao. Hapa napo angalia huyu Raisi...
  15. Mali Vs Tanzania | 2025 Women’s Africa Cup of Nations | Group C | 07.07.2025

    Wakuu hamjambo, Usiku wa leo Saa 4:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki, Timu yetu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) itashuka dimbani dhidi ya Mali katika mchezo wa AFCON ya Wanawake huko nchini Morocco. Huo utakuwa mchezo wetu wa kwanza katika kundi C ambalo pia kuna timu za South Africa pamoja...
  16. Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  17. Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
  18. Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje? Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini? Je, jina gani lingekua sahihi; - United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya - The pan-African...
  19. Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
  20. Tanzania yaongoza kuwa na amani Africa Mashariki

    Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani. Ingawa Tanzania imeporomoka kwa nafasi 8 ikilinganishwa na mwaka uliopita, bado inaongoza kanda hii, huku majirani wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…