africa

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Congratulations Dar es Salaam for being the ninth most beautiful city in Africa

  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Launches One of a Kind Technology Factory in Nyeri

    President Uhuru Kenyatta on April 26, 2021, opened the Semi-Conductors Technologies (STL) factory on the 177-acre Dedan Kimathi University of Technology's Science and Technology Park (DeST-Park). The factory will manufacture integrated circuits and sensors as raw materials in the electronic...
  3. JamiiForums Tanzania Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialist economy

    Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu. Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali unaongalia wanyonge wanasemaje. Habari zaidi: Dar es Salaam. Kampuni ya Millicom International...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Siasa za Muhindi na maendeleo ya Afrika? Tujiendeleze kikwetu kwetu

    Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo. Zilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania What foreign aid means to Africa

    Foreign aid in Africa
  6. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

    Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji. Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
  7. JamiiForums Tanzania Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index. • Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika. • Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha. ✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
  8. K

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

    Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndo majina ya viongozi wa Africa

    Majina konki Sana , binafs nimeyaelewa😋
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ranked most innovative city Africa by Knight Frank report.

    https://africabusinesscommunities.com/news/nairobi-is-the-most-innovative-city-in-africa-knight-frank-report/
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

    Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe. Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itangaze kuwa kujikinga na COVID-19 South African variant kuwa jambo la lazima

    Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani. Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Is Africa really rising? - Ali Mufuluki

    Miaka sita (6) iliyopita mfanyabiashara nguli wa Tanzania marehemu Ali Mufuluki katika kipindi cha TED talk show, alikuja na mada fikirishi ikiwa na title ya Afrika is really rising? https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=ali+mufuruki Katika hii video aliongelea mambo mengi sana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

    Mzuka wanajamvi! Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali. Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
  15. JamiiForums Tanzania Africa has been robbed again

    AFRICA HAS BEEN ROBBED By: Cde TN +263 774 878 860 Greetings to you fellow Zimbabweans and Africans. Like always, let me begin by appreciating the gallant sons and daughters of the soil who laid their lives for this beautiful country and continent. I salute you all. My sincere apology that...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Banks opt out of funding EACOP

    The $3.5b East Africa Crude Oil Pipeline (EACOP) project could run into trouble after some international commercial banks withdrew from funding the construction of the world’s longest heated crude oil pipeline proposed by French Oil Company Total and the China National Offshore Oil Corporation...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mubashara VOA

    Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa. Karibu tumsikilize , nilitamana sana mahojiano Kama haya yangekuwa yanafanywa na televisheni na media zetu kama ilivyokuwa enzi ya JK lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  19. JamiiForums Tanzania Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Barack Obama aliingia madarakani akibeba matumaini makubwa sana ya watu weusi wa Marekani na waafrika wengi kwa ujumla. Watu walifurahi sana na nyimbo nyingi zikaimbwa kusherehekea ujio wa nabii na shujaa huyu mweusi. Huku kwa mataifa yetu tulitembea kifua mbele tukijua we have a Big brother...
  20. N

    JamiiForums Tanzania CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…