Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Historia ya Afrika imejaa simulizi za utajiri wa rasilimali, lakini pia simulizi za kuporwa kwa rasilimali hizo. Mara nyingi lawama zote hupelekwa kwa mabeberu wakoloni na makampuni ya kimataifa kwa sababu ya kuhodhi thamani ya dhahabu, almasi, mafuta na madini mengine. Lakini tukirudi nyuma...
Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
130+
Very Superior / Gifted
Top 2%
High IQ
120–129
Superior
Top 9%
High
110–119
High Average
Top 25%
Above Average
90–109
Average
25–75%
Typical / Normal range
80–89
Low Average
Bottom 25%
Below Average
70–79
Borderline
Bottom 9%
Low
Below 70
Extremely Low
Bottom 2%
Very Low (disability range)
Kunauwezekano usio na shaka kabisa ,kama siasa za bara la Afrika zitakuwa hivi kwa chama kimoja kujiita dola na kuamulia vyama vingine viishije ,kupora uchaguzi waziwazi bila aibu,kuuwa wapinzani na wanaharakati wa tawala hizo, kueneza propaganda mfu kuwaita wasaliti tena sio wazalendo,kuna...
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
President William Ruto has departed for the 2026 G7 Summit, where he will represent Africa at the high-level meeting of the world's leading economies. The summit, hosted in France, brings together leaders from the Group of Seven nations to discuss global economic growth, climate change, trade...
Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu.
Hapo ni kenya.
Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania.
Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya.
Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka nyuma sana ila leo kwa kauli zao zinaonesha ukweli.
Kuwa muungano huu mkilazimisha kinachofata...
Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.
Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku.
Katika hali...
Viongozi wanaotuongoza wamejilimbikizia ukwasi ambao ni kufuru kwa MUNGU. Wako tayari hospital zikose dawa wananchi wafe hospital kukosekana dawa ila wao na familia zao zinapata matibabu ulaya. Mwanza kuna ziwa victoria lakini wananchi wa mwanza maji ya kutumia nyumbani ni kama ndoto ya mchana...
Mpango wa msanii na mfanyabiashara Akon unalenga kuhamasisha Wamarekani Weusi (African Americans) kuhamia na kuwekeza barani Afrika, kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi na kuwaepusha na changamoto za ubaguzi wa rangi huko ughaibuni.
Kupitia ushawishi wake na miradi mikubwa kama mji wa kisasa wa...
Salaam to everyone, and Happy World Cup Holiday.
Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.
Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa, wa-Africa wengi kwenye social media platforms mbalimbali wameanzisha campaign ya kui-support Mexico...
Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake.
Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune.
Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
Fikiria baba wa taifa wa Singapore kitabu chake kilikuwa na maono mpaka leo. Rais wa China mtu kabla ajashika uraisi lakini ana vitabu ambavyo china imefika hapo.
Mfalme wa Dubai ana vitabu ambavyo mpaka leo nchi imefika leo.
Hapo sija zungumzia ulaya,USA kama wengine .kwa urusi labda...
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
This was 2019,
Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.