afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013. Amepigana vita iliyo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji Frank Patrick (Molingo) afariki dunia

    Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi. Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  7. B

    JamiiForums Tanzania ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtayarishaji nguli na mtunzi wa muziki Quincy Jones afariki dunia

    Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake. Quincy Jones alikuwa mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi, na mpiga ala, anayejulikana kwa kazi zake na wasanii kama Michael Jackson na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kigogo ACT Wazalendo afariki dunia

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani...
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Narada Muni

    LOKAPALA SABHAKHYANA PARVA Vaisampayana said, "While the splendid Pandavas sit in that sabha with the great Gandharvas, O Bhaarata, the Devarishi Narada arrives in that assembly, he who is a master of the Vedas and the Upanishads, he whom the Devas worship, he who knows the Itihasas and Puranas...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo...
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachana wa Black Panther Dr. Ikaweba Bunting Afariki dunia

    Anaanfika Prof M. Martin Mhando Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli. 1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya Mnyonge (1972) 2. Alikuwa Soundman 3. Alikuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kufanya kazi katika studio...
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mcheza kikapu wa zamani wa NBA, Dikembe Mutombo afariki dunia akiwa na miaka 58

    Mchezaji mstaafu na maarufu wa Basketball wa ligi NBA nchi Marekani Dikembe Mutombo amefariki leo akiwa na miaka 58. RIP the greatest shot blocker in NBA history. ============== Basketball Hall of Famer Dikembe Mutombo – known for his shot-blocking and famed finger wave after denying...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwigizaji Maggie Smith afariki akiwa na umri wa miaka 89

    NBC News wametangaza kifo cha Dame Maggie Smith, kilichothibitishwa na watoto wake na mratibu wa habari. Wanawe, Chris Larkin na Toby Stephens, walitoa taarifa ya pamoja wakisema: "Kwa huzuni kubwa tunatangaza kifo cha Dame Maggie Smith. Alifariki kwa amani hospitalini mapema leo asubuhi."...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

    HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI HATIMAE...
  19. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu jijini Nairobi

    Wadau hamjamboni nyote? Msiba mzito huko kenya Naibu Gavana wa Lamu Raphael Munyua afariki akipokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi, Katibu wa Kaunti Balozi Abass Ali athibitisha. Lamu Deputy Governor Raphael Munyua dies while receiving treatment at a hospital in Nairobi, County...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rapa Rich Homie Quan afariki dunia

    Rapa Rich Homie Quan (34) amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 5, 2024 na taarifa za kifo cha msanii huyo zilianza kusambaa mtandaoni, huku wasanii wenzake kama Boosie Badazz na wengine wakituma salamu za pole katika kurasa zao za mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tovuti ya...
Back
Top Bottom