afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

    Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini. Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Kichina afariki akimuokoa mama aliyekuwa anazama majini Kigamboni

    Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa

    Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
  6. bhachu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Regis Touba afariki dunia

    Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile. Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la EXTRA MUSICA Ameshiriki katika kutunga nyimbo zenye mafanikio akiwa katika kundi hili, na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa zamani wa CCM Maswa afariki dunia.

    MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM WILAYA YA MASWA AFARIKI. Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Paul Jidayi (pichani) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Mwl Onesmo Makota imesema...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
  9. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa afariki ajalini

    Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO. Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Habari wanajamvi. Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv. Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu. Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana. Binafsi niliwahi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

    Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

    Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s, mzee wake alikuwa Don sana lakini...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge Mwanamke Kutoka Republican Afariki

    Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake. Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs. Love...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Simon Fisher-Becker afariki dunia

    Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63. Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja wake, Kim Barry. "Leo nimepoteza sio tu mteja katika Simon Fisher-Becker, lakini rafiki wa karibu wa...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

    Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo. Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu. Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa! Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi simiyu afariki kwa kupigwa na mwalimu. waziri wa elimu lifanyien kazi hiili hii shule wanasema ni mara ya tatu mtoto kufariki

    Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka Akamwomba...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo afariki dunia stendi ya Msamvu akisubiri basi

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma. Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Back
Top Bottom