afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania TANZIA Leung Choi-Sang nyota wa filamu ya kung-fu hustle afariki dunia

    Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
  3. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 .............................................................,.. 👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪 Jeshi la Polisi linatumika vibaya...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodaboda afariki Kenya baada ya kukamatwa masaa mawili na Polisi

    Utata umegubika kifo cha mwendesha bodaboda Jack Deon Maloba, mwenye umri wa miaka 23, aliyekamatwa Alhamisi jioni tarehe 11 Disemba, na kufariki akiwa katika kituo kimoja cha polisi jijini Nairobi. Familia yake inadai kuwa polisi waliwaambia kuwa Maloba alijiua kwa kutumia fulana, lakini...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
  6. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

    Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten. Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tagawa 'Mortal Kombat' afariki dunia

    Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani. Tagawa amefariki mbele ya familia yake baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa kiharusi 'Stroke' na taarifa hizo zimedhibitishwa na meneja wake Margie...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania ‎Kiongozi wa Upinzani Cameroon, Anicet Ekane afariki dunia akiwa rumande. Familia yasema haijapewa maelezo ya kutosha kuhusu kifo chake

    ‎Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, Anicet Ekane (74), amefariki dunia akiwa rumande siku ya Jumatatu, baada ya kukamatwa kufuatia maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Oktoba. Ekane alikuwa Mwenyekiti wa chama cha African Movement for New Independence and Democracy (MANIDEM) na mmoja...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jimmy Cliff alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutokea Kingston Jamaica Afariki dunia

    Jimmy Cliff alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutokea Kingston Jamaica na ndiye aliyekuwa mashindani mkubwa sana wa Bob Marley. Wote Jimmy Cliff na Bob Marley walivuma sana miaka ya 70 kabla Bob hajafariki. Jimmy amefariki Nov 24 2025 akiwa na umri wa miaka 81. Aliishi miaka 45 zaidi ya Bob Marley...
  10. Twilumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee? Chanzo: Azam Tv
  12. X

    JamiiForums Tanzania Legend na fashion icon Giorgio Armani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alianza kazi zake miaka 50 iliyopita jijini Milan jirani na mji aliozaliwa kwa kuanzisha Giorgio...
  13. Doji MD

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

    Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana, Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa Apumzike kwa Amani. https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
  14. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mgombea Urais aliyepigwa risasi Colombia afariki dunia

    Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

    Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025. Msiba ulihudhuriwa nyumbani kwa marehemu, Mzee Machuche, katika Mtaa wa Kwa Makobe, Ukonga. Ibada ya misa takatifu ya...
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
  17. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba Mzazi Wa Mbwana Samatta Afariki

    NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
  19. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Afariki siku chache baada ya kuchukua fomu kuwania Udiwani

    Aliyekuwa diwani wa Kata ya Mahuninga amefariki dunia siku chache baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine. Kisogole, alikuwa diwani wa Mahuninga katika Tarafa ya Idodi, mkoani Iringa na amefariki dunia jana Ijumaa...
Back
Top Bottom