adui

Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.

Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:

1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)​

Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
  • Mfano: "Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
  1. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

    Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba Adui aliyekuzidi Akili, Maarifa na Mbinu ni Upumbavu mkubwa

    Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua. Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Afrika tupo bize na kuamini uchawi, bado hatustuki tu kwamba uchawi ni adui wa maendeleo?

    uchawi upo na hutuwezi kuuepuka kwa kuamini kwamba haupo, Kama wewe ni Mkristo au Muislam lazima uamini uwepo wa uchawi lakini hupaswi kuuamini kwa matumizi. Hapa nazungumzia uchawi sio matambiko maana matambiko mengi yana lengo positive kuondoa tatizo japo kuna baadhi ya matambiko yapo...
  4. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania DPW ni adui wa kanisa na mafisadi na wafanyabiashara

    Wana Jamii HII NI TATHMINI YANGU Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu. Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Sina adui, nipo humu JF kwa malengo

    Habari, Naomba niliweke wazi hili jambo ili baadhi ya watu wasinifikirie vibaya. Mimi silipwi kuwa humu JF na wala hakuna kitu ninachokipata zaidi ya Habari na Burudani kutoka kwa Wadau tofauti. Naomba sana isije siku ukanichukia, maana nitakushangaza kwa ku-comment vizuri na kulike post zako...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala ni adui wa haki

    Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki. Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi. Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda...
  7. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa shule kama huyu ni adui kwa demokrasia Tanzania

    Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana. Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea. Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao. Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jumanne aanze Mzambia mbele ya Adui 'Why Dad' na Mkongo awe mtizama Sinema kwa Nje kwani hana Msaada na Tija

    Akianza Mzambia Adui ataangamizwa na Kujutia hata Kukutana nae.
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke

    Tanganyika tuna msemo ulioanzishwa na wanawake wana -harakati katikati ya miaka ya 90' hasa 1995 baada ya Zakia Meghji na kundi lake kutoka mkutano wa Beijing wa kutaka usawa na wanaume. Wanawake waliohudhuria walirudi Tanganyika na mtazamo mpya, wakitaka kila kitu sawa na wanaume ama kuwazidi...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

    Hi Great thinkers. Kati ya Tasisi amabazo zinaitesa sekta binasfi ni TANESCO. Mi nafikiri wanatia fora kwa sasa. Ule ukiritimba wa TRA na BRELA wakasome, kwa sasa sekta binafsi zinateseka sana na mgawo wa umeme. Kiasi amabcho inakatisha tamaa hata kumvutia mwekezaji mpya. Magufuli alipokuja...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mjue adui yako wa karibu usiyemdhania

    Salaam, shalom!! UTANGULIZI. Wote tunao maadui, uwe MWEMA au Mwovu, lazima maadui watakuwepo na ni wa karibu nawe. Leo, siwazungumzii hao maadui unaowajua wa kazini kwako, Jirani zako unayoishi nao, au maadui katika biashara, hapana!! MADA: NANI ALIYE ADUI WAKO WA KARIBU USIYEMDHANI? Maadui...
  12. Kaveli

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika. Video inazungumza... -Kaveli-
  13. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Palestine na mifano ya chuki za kidini

    Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza? Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza. Mara nyingi ukiwa Muislamu...
  14. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni adui wa kupiga vita

    Habari za muda huu wana jF Katika tukio la kusikitisha na la majonzi ,huko mkoani Tanga , mwanamke mmoja amefariki wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma ya matibabu ambayo alitakiwa kulipa TSH 150,000 kwa ajili ya operation kwa mujibu wa taarifa ya chanzo cha habari kilivyoeleza. Inaelezwa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hamas hapaswi kuonewa huruma kwa namna yoyote ile. Adui anauawa na si kupatana naye

    Uadui upo rohoni, mtu anazaliwa nao. Ili usalimike mbele za adui yako njia ni mbili tu; 1. Ukimbie mbele zake, ukiona adui amekuzidi nguvu au maarifa ili usalimike ni kumkimbia tu. 2. Umuue. Hawa Hamas na watu wa jamii ya Palestine ni maadui wa Israel miaka na miaka. Israel akipata mpenyo na...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

    Wanaukumbi. ----- 136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions: We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation. Our Mujahideen destroy vehicles and...
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Adui wa maendeleo ya simba sio yanga wala TFF, adui ni kuamini ktk mambo ya kale kilimo cha pdf kipo simba

    Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

    Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni. Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake...
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mwanzo: Katika kubariki nitakubariki, na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na kwako watatoka watawala!

    Biblia siyo maneno ya hadithi pekee. Ni Neno la kweli na lenye pumzi ya Mungu! Tangu kuwapo kwa ahadi hizo kwa Ibrahimu mpaka leo na hadi kiama, bado Neno la Mungu limeendelea kuthibitisha hayo. Ahadi hizo, ni kwa wazao wa baba wa Imani Ibrahimu na wafuasi wa kweli wa huyu Mungu JEHOVAH. Kwa...
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimegeuka adui wa mzazi dhidi ya wanangu

    Wakuu sijui ni upendo ama nini maana wazazi wananigeukia balaa. Mfano ; Mwanangu akikosea nikimuadhibu mzazi wangu anakua mkali mno ananishambulia mpaka naona aibu, Nifanyaje maana watoto ni wangu ila wazazi wangu wamewamiliki.
Back
Top Bottom