Kibatala ni adui wa haki

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki.

Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi.

Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda kesi.

Na inavyoelekea atamsaidia mjane wa Msuya Miriam Mrita kushinda kesi ya mauaji dhidi ya wifi yake Aneth Msuya.

Hii siyo sawa kabisa kwasababu mjane wa Msuya alishakiri alihusika kwenye haya mauaji.

Lakini bado Kibatala anakomaa tu. Na siyo Kibatala tu kuna hawa kina Magafu, shangazi na wengine wote ni adui wa haki haijalishi ni fani ama nini.

Watumie vipaji vyao vya uwanasheria kuwakilisha mambo yenye mantiki na manufaa hata machoni pa Mungu kama wazee wastaafu kudhulumiwa mafao, madogo yatima kupata mirathi, unyanyasaji wa polisi na kubambikiwa kesi.

Lakini hili lakutetea Majambazi, wauaji na wabakaji hapana.
 
Yupo kisheria?
 
Naamini unajua misingi ya wakili pamoja wajibu wake.
Kanuni tulizojiwekea za uwepo wa mahakama ndio yenye makosa.
 
Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki.

Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi.

Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda kesi.

Na inavyoelekea atamsaidia mjane wa Msuya Miriam Mrita kushinda kesi ya mauaji dhidi ya wifi yake Aneth Msuya.

Hii siyo sawa kabisa kwasababu mjane wa Msuya alishakiri alihusika kwenye haya mauaji.

Lakini bado Kibatala anakomaa tu. Na siyo Kibatala tu kuna hawa kina Magafu, shangazi na wengine wote ni adui wa haki haijalishi ni fani ama nini.

Watumie vipaji vyao vya uwanasheria kuwakilisha mambo yenye mantiki na manufaa hata machoni pa Mungu kama wazee wastaafu kudhulumiwa mafao, madogo yatima kupata mirathi, unyanyasaji wa polisi na kubambikiwa kesi.

Lakini hili lakutetea Majambazi, wauaji na wabakaji hapana.
Huyo mjane wa msuya hata akishinda hawezi kuwa Salama familia lazima italipiza kisasi nje ya mahakama.
 
Kibatala heshima yake imeshuka kwa kumtetea muuaji wa wazi kabisa.
Kwake tumbo ni muhimu kuliko kulinda heshima yake.
 
Huyo mjane wa msuya hata akishinda hawezi kuwa Salama familia lazima italipiza kisasi nje ya mahakama.
Kwa pesa atashinda sema mahakama inaona tu aibu kumuachia sababu ni kesi maarufu hela washalamba
 
Kuna mmoja huyo anaitwa Median Mwale,

Ila sasa hivi yupo kisongo huko.
 
Kazi ya Wakili nibkuisaidia Mahakama kutenda Haki , Wengi mnaosema wamekiri Makosa ni wale waliolazimishwa kwa vipigo na mateso
Kama kazi ya wakili ni kusaidia Mahakama kutenda haki, inakuwaje wakili huyo huyo anafikia hadi hatua ya ku file fake document mahakamani ili mteja wake ashinde kesi kwa hila!? Kuna muda mwingine lazima uwe na hofu ya Mungu hata kama unashida ya pesa!!
 
Back
Top Bottom