Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.
Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:
1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)
Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
Mfano:"Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya.
Kawaida kila taasisi...
Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako.
Tujifunze na tuchukue tahadhari.
Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi.
Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia:
1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu.
1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
Sio siri kuwa JWTZ inafanya kazi inayotukuka kweli kweli. Maadui wa nje hawafanyi chokochoko tena katika mipaka yetu.
Lakini sasa kuna adui wa ndani ya nchi anateka watu, anawatesa na kuwaua apendavyo. Kuna faida gani mlinzi yuko getini tuu kuzuia azure wa nje wasiingie lakini kama yuko aliyeko...
Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku
Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea kwa upendo wale wanaotuchukia au kututendea vibaya. Hakuna mtihani mgumu ambao Kristo alitupa katika...
Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke, Spika wa bunge mwanamke, RPC wa mkoa husika lilikotokea tukio mwanamke
Lakini kinachoshangaza zaidi ni...
Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja.
Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali.
Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
Hellow JF.
Hii inaweza kuwa mwendelezo wa makala zangu za hapa na pale japo sijazipangalia katika mtiririko sahihi kwasababu ninaishi ninachokiandika.
Nataka nikukumbushe kitu, najua wajua lakini nakujuza.
Toka kuumbwa kwa dunia kumekuwa na aina mbalimbali za watu, mfano, Watu wema (Watu...
Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief!
Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha!
Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.
Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na Bashungwa huku ukiwakumbatiavijana Team Msoga,
Sasa uliowaamini unawaona hawafai uliowaona hawafai...
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
-Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana.
mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu.
#bakitumolo
Kipindi cha Nyerere, maadui wa nchi walikuwa watatu: ujinga, magonjwa, na umaskini.
Ingawa hao maadui wangalipo, lakini huenda kuna adui mwingine kaongezeka: watumishi wa umma.
Mbaya zaidi ni kuwa huyo adui anaishi kwa jasho la wenye nchi kwa manufaa yake mwenyewe huku wenye nchi wakiumia...
Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake.
Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.