abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  2. JamiiForums Tanzania TAZARA yatoa taarifa ya ajali ya Treni ya abiria na mizigo zilizogongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa

    Pia soma: TAZARA: Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa
  3. JamiiForums Tanzania Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, Oktoba 18, 2023

    Kuna ujumbe huu unasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ajali ya treni kugongana uso kwa uso, mwenye taarifa kamili atupatie, inasemekana imetokeo usiku huu Jumatano Oktoba 18, 2023. Ujumbe unaosambaa na video hiyo unasema "Ajali hii imetokea usiku huu hapa station ya Mwakanga, treni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje Mwendokasi iondoke Kimara ikiwa tupu hadi depo Jangwani huku ikiacha abiria?

    Ninawaamkua wote. Hali hii inajiri Kimara, Kivukoni hata Gerezani. Inapofikia peak hour magari ya mwendokasi yanakuwa bize kurudi depo Jangwani huku ikiwaacha abiria na sintofahamu ya kupata uhakika wa usafiri. Pale Kimara unakuta gari nyingi zimepaki kama.mbovu na hakuna linaloendelea na...
  5. JamiiForums Tanzania Mrisho Mrisho: Meli zitenganishwe Muda wa kuwasili ili kupunguza foleni ya abiria

    Baada ya Mdau kueleza juu ya kero ya foleni kwenye Bandari ya Dar es Salaam hasa kwa abiria wanaotoka Zanzibar, Mamlaka ya Bandari umeeleza kuwa changamoto hiyo imemalizika baada ya kufungwa kwa mashine mbili kubwa za kukagua mizigo "scanner". Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Japan tunayoambiwa ina uchumi mkubwa na maendeleo inagandamiza abiria kwenye treni kama viazi ulaya?

    Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video? https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeruhusu Mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa Saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Maguha: Takwimu zinaonesha Saratani ya Mlango wa Kizazi inasumbua Wanawake wengi ikifuatiwa na Saratani ya Matiti

    Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali. Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Ndege yatua Uhispania na abiria kamili bila mizigo yao

    Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi. Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada ya abiria mmoja kuchafukwa na tumbo na kuichafua ndege nzima. Juzi tena tarehe 11 ndege ya shirika...
  12. JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya abiria kushuka na kuacha gari kwenye foleni kuna hatarisha usalama wa abiria

    Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee. Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
  13. JamiiForums Tanzania Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

    Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta . Nitawajulisha kitakachojili . Usiku mwema .
  14. JamiiForums Tanzania Uholanzi Yaipa Ukraine Ndege Chapa F-16 Kama Kisasi Cha Kulipiza Ndege Yake Ya Abiria Kulipuliwa Na Mawakala Wa Putin Na Kuua Abiria 196

    Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.🤔 ...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Jiji la Dodoma tambueni mnatesa abiria wageni

    Kitendo cha uongozi wa Jiji la Dodoma kukataza mabasi yenye ofisi eneo la CBE kutopakia abiria eneo lile hakika huku ni kuumiza na kutesa wageni natoa sababu zangu ambazo kimsingi ni za kiubinadamu tu. Unakuta mtu amefikia Lodge za hayo maeneo ya CBE au pale mitaa ya Chaduru (mkabala na...
  17. JamiiForums Tanzania Pakistan: Treni ya Abiria yaacha njia na kuua watu zaidi ya 30

    Takriban watu 30 wamefariki dunia na wengine 100 kujeruhiwa baada ya Treni kuacha njia kusini mwa Pakistan, msemaji wa polisi amethibitisha. Mabehewa kadhaa ya Hazara Express yalipinduka karibu na kituo cha reli cha Sahara huko Nawabshah, takriban kilomita 275 (maili 171) kutoka mji mkubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  19. JamiiForums Tanzania Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Vituo vya daladala Morogoro Road hakuna sehemu ya abiria kupumzikia

    NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu. Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi ndiyo yalianza kufanya kazi zake hapa Dar es Salaam, utagundua kwamba vituo vya daladala za kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…