Search results

  1. Android

    500 Zimbabwean dollar sawa na 1USD, 2400 Tanzania Shilingi sawa na 1USD, Wazimbabwe wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao na sisi tunakwama wapi?

    Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu. Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS. Wamewazaje kupandisha thamani ya...
  2. Android

    Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

    Zanzibar wana TCRA yao? 🤔
  3. Android

    Rais Samia ni Mtanzania, sio "Mama wa Kizanzibari"

    Huyo ni Mzanzibari tu hawezi kuliepuka hilo. Kule Zanzibar atawafaa zaidi.
  4. Android

    Msaada nataka kufungua yard ya mbao Dar es Salaam

    Kwanini usifungue ya simenti mkuu moani yangu tu
  5. Android

    Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

    Hamna mtangazaji pale, ni kelele tupu na sauti ya kukoroma plus misifa. Uelewa wa vitu na mazingira ni zero.
  6. Android

    Nchi za kijamaa (communist) na siasa za vyama vingi huwa haviivi

    Well said Angalia hata Urusi pamoja na akili zao lakini ujamaa umesababaisha iwe nchi ya hovyo.
  7. Android

    Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  8. Android

    Nauza Line za Uwakala zote 5

    Kila la kheri mkuu
  9. Android

    Ninauza mchele super

    Na bei ya sembe ipoje kama mchele ni bei hiyo?
  10. Android

    Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Naomba connection mkuu ya anayefanya ya biashara ya mbao🙏
  11. Android

    Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

    Wakisema tuchangie na kodi wafute kabisa.
  12. Android

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kuandika kwenyewe hujui kuandika mbwa wewe halafu unasema utmbo gani???!!
  13. Android

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wassap group la mikeka 👉The Champions ⚽🏆
  14. Android

    Leo nimejua kwanini Makaburu wa South Africa walikuwa wanalamba shaba Wasauzi asili

    Inawalea kwelikweli yaani. Kama wanaandamana kupinga hukumu kwanini wanaiba? Kwanini wanapora watu?
  15. Android

    Nape na January watajutia milele

    Waliwahi kusimamia jambo gani la kiuongozi na kufanikiwa au umelewa mahaba ya kijinga tu?!🤔
  16. Android

    Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Moderator hii habari ni ya uongo , halafu mnaacha watu wapost uongo humu?? Cc Mhariri
  17. Android

    Njia gani nitumie kudai deni?

    Mpeleke kwa mjumbe au serikali za mtaa, au mahakamani kama ulivyosema awali. Akikubali unamdai mnnaandikishana namna ya kukulipa. Akikukataa hujamkopesha muulize mara mbilimbili akizidi kukataa nawa/futa mikono angalia juu sema maneno muachie Mungu.
  18. Android

    Kama hutojali, tupe siri yako ya kupata usingizi haraka usaidie wenye tatizo hili

    Tumia kilevi chochote utapata usingizi tena mzito.
  19. Android

    Je, Nusrat ana makosa au hana? Fikiria, labda alisaini vitu asivyovijua

    Wengi huku ukiandika what a shame mwenzako anavuta miln12 kila mwezi, heshima aliitafuta paka na hakuipata!
Back
Top Bottom