Search results

  1. afkombo

    ANDROID FACTORY IMAGE INSTALLATION.

    Wakuu kuna mtaalam hapa Tz hasa Mbeya ambaye anaweza ku-flash android kwa kutumia Factory Image File??
  2. afkombo

    Thinkpad l440 vs HP spectre

    Wakubwa naomba msaada juu ya Experience hapa. Nachanganyikiwa kwenye kufanya maamuzi which one to buy Kati ya HP Spectre na Lenovo ThinkPad L440. Nafaham durability ya Thinkpad. Lkn cna experience ya HP especially kwa slim machine km hii Spectre. Mwenye experience anisaidie tafadhali.
  3. afkombo

    Wapi nitapata Thinkpad L440??

    Habari Wadau. Kwa wenye ufaham naomba mnisaidie hivi Ni duka gani hapa Tanzania naweza pata Lenovo ThinkPad L440??
  4. afkombo

    Boy swallows scissors, survives unscathed

    He ate what?! Boy swallows scissors, survives unscathed SWNS SWNS SWNS Curtis Francis, 12, recovers at home with his mother, Karon Edwards, after swallowing a pair of scissors. On the long list of strange things children have swallowed, you can now add: Scissors. A 12-year-old boy...
  5. afkombo

    Suspicious Package From Yemen Causes Evacuation at JFK

    A shipping facility at JFK Airport was evacuated as "a way precaution" Wednesday evening because of a suspicious package, sources said. Law enforcement sources said a package from Yemen was checked and cleared yesterday by security officials, but DHL personnel today called law enforcement back...
  6. afkombo

    Engine disintegrates shortly after giant A380 passenger jet takes off

    SINGAPORE — A Qantas Airways jet was forced to make an emergency landing after an engine appeared to explode Thursday — showering debris onto houses and a shopping mall below — shortly after take-off. Qantas said the Airbus A380 — which had stopped off en route from London to Sydney, Australia...
  7. afkombo

    Brand gani ya tv ni bora kwa tanzania??

    Habari wakuu. Kwa wenye ufahamu juu ya suala hili naomba wanifahamishe.Napenda kufahamu kwa sasa Tanzania ni TV set gani(Flat Panel,Flat Screen) ni nzuri kati ya Philips,Sony,Hitachi,Panasonic,Samsung,LG,Toshiba na Sharp.Tusizungumzie km ni LCD,PDP,LED au 3D,ninachotaka kufahamu ni Brand tu...
  8. afkombo

    Nitawezaje ku-unlock usb modem?

    Wakuu kwa wale wajuzi wa mambo Haya naomba msaada wenu.Nimekuwa nikitumia HUAWEI EC 189 USB Modem nje ya Tanzania.Nataka nirudi home na nina mpango wa kuendelea kuitumia hiyo Modem nikiwa Home lkn nimepata tetesi kuwa huwa zinakuwa locked.Sasa kwa wenye kujua,nifanyeje km itakuwa locked...
  9. afkombo

    Website ya Air Tanzania inakarabatiwa kwa muda gani?

    Wakuu wenye Kufahamu hili jambo naomba tufahamishane. Hivi Hii website Ya Air Tanzania Iko Kwenye Ukarabati Kwa Muda Gani? Maana Mara Yangu Ya Mwisho ilikuwa ni Mwaka Jana September Nilipotembelea Nilikutana na Tangazo "THE WEBSITE IS CURRENTLY UNDER MAINTANANCE FOLLOWING OUR REBRANDING" na...
  10. afkombo

    Blackberry 8310 As Modem!!

    Habari wakuu!! Naomba kuuliza kama kuna mtu aliyewahi kufanikiwa kutumia Blackberry Mobile phone kama Modem.Nimekuwa nikitumia Nokia E71 Kama Modem mara zote nilizokuwa narudi home TZ likizo na haina shida lakini kwa sasa nimejabadili simu kwa muda natumia Blackberry 8310 na nina mpango wa...
  11. afkombo

    FFU ajalini Dar!!

    Sifurahii ajali kutokea lakini nashukuru kwamba wamekutana wenyewe kwa wenyewe sasa sijui nani ni m'babe,shauri zao wenyewe. FFU Dar ajalini Gari moja lililosheheni askari wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) limepata ajali mbaya leo asubuhi na kusababisha kifo cha askari...
  12. afkombo

    Scientists create human sperm from stem cells

    http://www.cctv.com/program/worldwidewatch/20090709/101274.shtml Wenye Data zaidi tumwagieni jamani. Maana kama ni kweli,itakuwa kaaaazi kwelikweli!!!Maana tunaweza kuja kupata watu wenye majina kama "Michael Oxford","Kombo Newcastle",Hapendeki Stanford", Sitakiwi MUHAS, Mwanakombo...
  13. afkombo

    Mastermind behind Xinjiang(CHINA) violence: Rebiya Kadeer

    http://www.cctv.com/program/cctvnews/20090707/100654.shtml Kama ni kweli basi bila shaka hao Wa-Xinjiang wamechoka kweli kweli na ukandamizwaji!!
  14. afkombo

    The moment Obama ignores Berlusconi's handshake at G8 summit

    http://english.cctv.com/20090709/101676.shtml Berlusconi offered his hand to Barack Obama, only for the U.S. President to carry on walking Wadau hebu tuijadili hii!!Hivi kweli aliuona mkono wa KiongozI mwenzake aka-"utandazia" tu au hakuuona???Maana napatwa na mshangao kidogo.Au Obama...
  15. afkombo

    Msaada!!

    [COLOR="Blue"]Heshima Mbele Wadau!! Wakuu mimi nipo Med School kwa sasa.Nina mpango wa kufanyia clinical practice(elective clerkship) South Africa.Nimeshatuma Maombi University of Cape Town,Victoria Hospital(4 months accepted),University Of Pretoria(4 months accepted) na University Of...
  16. afkombo

    Nahitaji Kumar And Clerck's Cilincal Medicine!!

    Wadau kuna mwenye Info zozote juu ya wapi na vipi naweza kupata Kitabu cha Internal Medicine(Kumar And Clerck's au Davidson's? Nipo Uchina nimejaribu kutafuta nimekosa. Kwa waliopo USA,CANADA au UK km kuna mwenye kuweza kunisaidia kunitumia kwa gharama tutakazokubaliana basi asisite tuwasiliane...
  17. afkombo

    USB Modem: Kwa wenye kujua nisaidieni!!

    Habari zenu wadau!! Naomba kama kuna mweye kujua kuhusu utaratibu wa hawa jamaa wa Zain,Zantel au Vodacom. Nina USB Moderm,ni Huawei E220.Nataka kumtumia mtu aliye Bongo.Sasa nilikuwa nauliza kwa mdau mwenye kujua,je! hizi kampuni zinaweza kukubali kumpatia connection ya Internet kwa hii moderm...
  18. afkombo

    Naomba ufafanuzi

    Habari wana JF!! Kuna habari nimeisoma kutoka BBCswahili inasema kwamba Libya ilitawaliwa na Italy mnamo mwaka 1911!!Mimi nasoma Medicine lakini katika kumbukumbu zangu finyu za masomo ya vidato nakumbuka kwamba historia inasema kuna baadhi ya nchi za kiafrika hazikutawaliwa ambazo...
  19. afkombo

    Egyptian woman gives birth to septuplets

    By MAGGIE MICHAEL, Associated Press Writer Sat Aug 16, 10:45 AM ET CAIRO, Egypt - A 27-year-old Egyptian woman gave birth to septuplets early Saturday in the coastal city of Alexandria, family members and the hospital director said. ADVERTISEMENT Ghazala Khamis was in good...
  20. afkombo

    Msaada Wa Kitaalam Unahitajika

    Habari wana JF!!Mimi ni mwanafunzi nasomea udaktari lakini huwa navutiwa sana juu ya kufahamu ufanyaji kazi wa Computer!!Nina maswali mawili 1:Kwa nini ukinunua Computer mpya,ukishai-format,ikifika sehemu ya kuchagua regional and language options katika masuala ya muda na tarehe,kwa nini...
Back
Top Bottom