Naomba ufafanuzi

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11

Habari wana JF!!
Kuna habari nimeisoma kutoka BBCswahili
inasema kwamba Libya ilitawaliwa na Italy
mnamo mwaka 1911!!Mimi nasoma Medicine
lakini katika kumbukumbu zangu finyu za masomo
ya vidato nakumbuka kwamba historia inasema
kuna baadhi ya nchi za kiafrika hazikutawaliwa
ambazo miongoni mwa hizo ni Libya na Ethiopia!
Kwa hiyo habari hii inanichanganya kidogo!!
Naomba kama kuna mwenye ujuzi animegulie!!
fungua link chini
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_dirayadunia.shtml
Natangulzia shukrani!!
 
Embu soma kwenye hii link then..................

History of Libya as Italian Colony - Wikipedia, the free encyclopediaHistory of the Jews in Libya ... In 1929, Tripoli and Cyrenaica were united as one colonial province, then in 1934, as Italy wanted to reach imperial power, ...
en.wikipedia.org/wiki/History_of_Libya_as_Italian_Colony - 40k -
 
Habari wana JF!!
Kuna habari nimeisoma kutoka BBCswahili
inasema kwamba Libya ilitawaliwa na Italy
mnamo mwaka 1911!!Mimi nasoma Medicine
lakini katika kumbukumbu zangu finyu za masomo
ya vidato nakumbuka kwamba historia inasema
kuna baadhi ya nchi za kiafrika hazikutawaliwa
ambazo miongoni mwa hizo ni Libya na Ethiopia!
Kwa hiyo habari hii inanichanganya kidogo!!
Naomba kama kuna mwenye ujuzi animegulie!!
fungua link chini
http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_dirayadunia.shtml
Natangulzia shukrani!!
Ni Liberia sio Libya.......
 
Nashukuru kwa msaada wenu wandugu,hasahasa Mr Yo yo,bila shaka nilikuwa nachanganya kati ya Libya na Liberia.Shukran!!
 
Back
Top Bottom