Brand gani ya tv ni bora kwa tanzania??

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11
Habari wakuu.
Kwa wenye ufahamu juu ya suala hili naomba wanifahamishe.Napenda kufahamu kwa sasa Tanzania ni TV set gani(Flat Panel,Flat Screen) ni nzuri kati ya Philips,Sony,Hitachi,Panasonic,Samsung,LG,Toshiba na Sharp.Tusizungumzie km ni LCD,PDP,LED au 3D,ninachotaka kufahamu ni Brand tu.
Ya kuzingatia ni ubora,upatikanaji wa accesories na ukarabati pindi inapokorofisha.
Na pia Niliona picha kwa Michuzi Blog kipindi cha sabasaba mwaka jana kuna Brand nyingine kama Hisense,Haier,Konka,Prima,TCL nk zimeshaingia kutoka China,je kuna mwenye info au kuna ambaye anamiliki Moja ya Brand hizo na anazififiaje?
Natanguliza shukrani.
 
kibongo bongo ni vizuri kuwa na TV zenye mechanism zaidi ya kuzia madhara makubwa au zenye kuhimili shock na kukatika katika kwa umeme. Brand maarufu nadhani ni Sony Samsung, panasonic etc

Nadhani kwenye specs ni jambo la muhimu sana kuangalia si tu brand lakini model yenye vigezo vikubwa vya shock resisting.
 
Nashukuru Kiranja Lkn swali bado liko palepale Je zinahimili Mazingira ya Kitanzania?Na kuan yeyote mwenye info kuhusiana na Bei?
 
kibongo bongo ni vizuri kuwa na TV zenye mechanism zaidi ya kuzia madhara makubwa au zenye kuhimili shock na kukatika katika kwa umeme. Brand maarufu nadhani ni Sony Samsung, panasonic etc

Nadhani kwenye specs ni jambo la muhimu sana kuangalia si tu brand lakini model yenye vigezo vikubwa vya shock resisting.

mkuu ni mechanism gani hii na mimi next time niangalie TV yenye hio mechanism.....?
 
Habari wakuu.
Kwa wenye ufahamu juu ya suala hili naomba wanifahamishe.Napenda kufahamu kwa sasa Tanzania ni TV set gani(Flat Panel,Flat Screen) ni nzuri kati ya Philips,Sony,Hitachi,Panasonic,Samsung,LG,Toshiba na Sharp.Tusizungumzie km ni LCD,PDP,LED au 3D,ninachotaka kufahamu ni Brand tu.
Ya kuzingatia ni ubora,upatikanaji wa accesories na ukarabati pindi inapokorofisha.
Na pia Niliona picha kwa Michuzi Blog kipindi cha sabasaba mwaka jana kuna Brand nyingine kama Hisense,Haier,Konka,Prima,TCL nk zimeshaingia kutoka China,je kuna mwenye info au kuna ambaye anamiliki Moja ya Brand hizo na anazififiaje?
Natanguliza shukrani.

angalia usije kununua "BADGE"............if u know what I mean............
 
mkuu ni mechanism gani hii na mimi next time niangalie TV yenye hio mechanism.....?

Simply I mean not in Detail Ni vizuri kujua kifaa chako cha umeme cha thamani kubwa ka kita repsond vipi in an event of Undervoltage power supply. Mfano Power suply ya kompyuta nyingi zinakufa sababu ya hili tatizo la under voltage na sabbau power supply zenyewe hazina mechanism ya kujizima voltage inapokuwa chini sana. Kwa TV kuna model ambazo zina power supply inayoweza kujizima katika hali hii badala yakuendelea kutumia umeme huo.
 
Asante....labda kwa kuongezea njia rahisi ni kununua EXTENSION LEAD YENYE SURGE PROTECTOR.....hii inafanya hio kazi uliosema iwapo TV yako haina.
 
Back
Top Bottom