Msaada!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by afkombo, Jul 1, 2009.

 1. afkombo

  afkombo Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  [COLOR="Blue"]Heshima Mbele Wadau!!
  Wakuu mimi nipo Med School kwa sasa.Nina mpango wa kufanyia clinical practice(elective clerkship) South Africa.Nimeshatuma Maombi University of Cape Town,Victoria Hospital(4 months accepted),University Of Pretoria(4 months accepted) na University Of Stellenbosch (2 months not replied yet).
  Kwa hiyo kama ntakubaliwa na Stellenbosch, ntakuwa South Africa kwa miezi kumi lkn kwa sasa nina uhakika wa miezi minane.Hawa wa Stellenbosch wao wana accomodation na bei zao wameziorodhesha lkn kwa Cape Town na Pretoria wanashauri ufanye arrangement zako binafsi juu ya accomodations.Ombi langu ni kwa wale walioko huko au wenye ufahamu kama akina TONGE NYAMA wanisaidie juu ya expenses,yaani maswala ya Apartment kwa mwezi ni kiasi gani kwa wastan na masuala mazima ya vyakula.
  Natangulisha shukuran.[/COLOR]
   
Loading...