The moment Obama ignores Berlusconi's handshake at G8 summit

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11
http://english.cctv.com/20090709/101676.shtml

1247102057621_1247102057621_r.jpg

Berlusconi offered his hand to Barack Obama,
only for the U.S. President to carry on walking

Wadau hebu tuijadili hii!!Hivi kweli aliuona mkono wa KiongozI mwenzake aka-"utandazia" tu au hakuuona???Maana napatwa na mshangao kidogo.Au Obama amelipiza alivyofanyiwa Bush kule Washington??
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mkono ndiye alikosea, manake huwezi kuupeleka mkono kwa mtu ilhali hayupo aware kabisa. Alichotakiwa kufanya hapo ni kumgonga/kumgusa kwanza Obama mgongoni au kumshika bega au kumwita kwanza ili kumwandaa na zoezi zima la utoaji mkono kabla ya kutoa mkono. Hii ingesaidia kuondokana na aibu aliyoipata.

Ni mtazamo wangu tu.
 
Ndugu!

Are you really a great thinker pamoja na mtoa mada? Kama mnakumbuka wakati wa presidential campaign the Mafia Boss in the name of Silvio Berlusconi alimtukana Baraka Obama kwa kusema his skin is a bit fairer au kwa kiswahili cha bongo mkorogo wake ulikuwa mzuri. That was a direct insult na baadae alikurupuka na kusema alikuwa anatania.

Kama aliimpa mkono na hakupokea ilikuwa ni out of protocol au tuseme kwa kuwa Obama anayo damu ya kijaluo aliamua kumpiga tu buti !! I am not sure lakini kwa sababu hajaenda kule white house kuomba radhi kiungwana but the bottom line ni kwamba Silvio ni mbaguzi sio wa rangi tu but in totality!!!

Nawashauri muwe mnasoma na kuangalia news kwa mapana sijashangaa and keep your memories tuned!
 
Mkuu sijui nipo upande upi kati ya hizo mbili ulizozitaja, ila nnachojua akili yangu inanitosheleza kwa matumizi binafsi na ya wanaonizunguka pale wanapohitaji ushauri/mawazo yangu. Kwa hiyo mimi ni mimi..

Tukirudi kwenye mada, nimetoa maoni yangu kulingana na jinsi picha pamoja na hali halisi ilivyojionesha hapo. Kwa kuwa jamaa alienda kwa Obama ili kumpatia mkono, nimetoa mawazo yangu namna alivyotakiwa kufanya ili aupate mkono wa Obama. Kuhusu kufuata protocol kupeana mikono, basi sihusiki kwa sababu hata mimi sijui kwa nini hawakuifwata. Na kama mtazamo wako ni kuwa Obama alimkaushia jamaa maksudi binafsi sidhani kama utakuwa ni uamuzi wa busara, ila kama ni kuchunia watu basi nadhani angeanza na McCain ambaye katika kipindi cha kampeni wafuasi wake (kama alivyofanya mfuasi wa Berluscon kwa mujibu wa maelezo yako) walikuwa wakimtolea kejeli za kila aina.

Anyway, kila mtu na tafsiri/mtazamo/mawazo yake, ndiyo maana ya JamiiForums....

Ubarikiwe sana.
 
Last edited:
Ndugu!

Are you really a great thinker pamoja na mtoa mada? Kama mnakumbuka wakati wa presidential campaign the Mafia Boss in the name of Silvio Berlusconi alimtukana Baraka Obama kwa kusema his skin is a bit fairer au kwa kiswahili cha bongo mkorogo wake ulikuwa mzuri. That was a direct insult na baadae alikurupuka na kusema alikuwa anatania.

Kama aliimpa mkono na hakupokea ilikuwa ni out of protocol au tuseme kwa kuwa Obama anayo damu ya kijaluo aliamua kumpiga tu buti !! I am not sure lakini kwa sababu hajaenda kule white house kuomba radhi kiungwana but the bottom line ni kwamba Silvio ni mbaguzi sio wa rangi tu but in totality!!!

Nawashauri muwe mnasoma na kuangalia news kwa mapana sijashangaa and keep your memories tuned!

Alisema 'Obama is young, handsome and even tanned' na ilikuwa baada ya uchaguzi sio wakati wa kampeni.
 
Wachangiaji wote hapo juu,hara haraka naweza sema wakati mpo darasa la kwanza au vidudu mlikuwa bonge la wachonganishi,kutafutiana ugomvi.Mara jaruo mara mafia,mara tanned full kukumbushana...........ha ha ha.Wkend ishaanza na summer ndo hiiiiiiiiiiiiii
 
Navyoona mimi mawazo ya wawili hawa hayakuwa pamoja.Obama alikuwa kwenye 'move' na mzee wa AC Milan alikuwa na mawazo ya kumpa Obama shake.Ni lazima ingeonekana kama jamaa anamtolea nje hivi.

Kunaweza kuwepo interpretation kibao kuhusu hii picha lakini naona hakuna kabifu kokote.Kwanza Obama siyo shabiki wa Inter Milan, yeye ni Liverpool damu.Hakuna bifu la kimpira hapo...tehe tehe tehe...
 
Back
Top Bottom