Website ya Air Tanzania inakarabatiwa kwa muda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya Air Tanzania inakarabatiwa kwa muda gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by afkombo, Feb 20, 2010.

 1. afkombo

  afkombo Member

  #1
  Feb 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wakuu wenye Kufahamu hili jambo naomba tufahamishane.
  Hivi Hii website Ya Air Tanzania Iko Kwenye Ukarabati Kwa Muda Gani?
  Maana Mara Yangu Ya Mwisho ilikuwa ni Mwaka Jana September Nilipotembelea Nilikutana na Tangazo "THE WEBSITE IS CURRENTLY UNDER MAINTANANCE FOLLOWING OUR REBRANDING" na mpaka hii leo naandika hii thread bado ipo vilevile, sasa wakuu kuna nini Jamani kwenye hili Shirika???
   

  Attached Files:

 2. R

  Risk taker Member

  #2
  Feb 20, 2010
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii website imekuwa under construction kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mimi nakumbuka mara ya mwisho nilifungua Januari 2008 na ilikuwa inasomeka kama ilivyo sasa. Sasa najiuliza hawa Air tanzania hawajui hii ni part ya advertisement? Huku wanalalamika ndege hazipati abiria. Kwa airline nyingine unaingia kwenye wesite unanunua tiketi online na kufanya booking.
   
 3. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Well: wanasubiri vipuri Viwasili.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Wanangoja Mattaka arudi toka special assignment!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  What new are they going to display onthere?
  Hawana jipya la maendeleo walilofanya, wanaona aibu kuimaintain ikiwa bila mabadiliko for such sa long time!.
  Mabadiliko yaliyopo ni hasi(negative) ambapo ni ngumu kuyadisplay pale!..huh!
   
 6. afkombo

  afkombo Member

  #6
  Feb 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  hahahahahahahahaha sawasawa Mkuu.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...