Wapi nitapata Thinkpad L440??

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11
Habari Wadau. Kwa wenye ufaham naomba mnisaidie hivi Ni duka gani hapa Tanzania naweza pata Lenovo ThinkPad L440??
 
Habari, mimi ninazo mpya box 10 ni wakala wa lenovo Tanzania nauza kwa $ 750 plus Vat
My number 0716727741
 
Kuna yoga3pro-touch bei ni dolla 1450 jumlisha vat na kuna Yoga 300 core celeron processor touch bei ni dollars450 jumlishavat na kuna Yoga510 core i3 bei ni 620 jumlisha vat na kuna Yoga 510 core i5 bei ni dollar 800 jumlisha vat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom