Nitawezaje ku-unlock usb modem? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitawezaje ku-unlock usb modem?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by afkombo, Mar 14, 2010.

 1. afkombo

  afkombo Member

  #1
  Mar 14, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wakuu kwa wale wajuzi wa mambo Haya naomba msaada wenu.Nimekuwa nikitumia HUAWEI EC 189 USB Modem nje ya Tanzania.Nataka nirudi home na nina mpango wa kuendelea kuitumia hiyo Modem nikiwa Home lkn nimepata tetesi kuwa huwa zinakuwa locked.Sasa kwa wenye kujua,nifanyeje km itakuwa locked?
  Natanguliza shukran.
   
Loading...