Blackberry 8310 As Modem!!

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
11
Habari wakuu!!
Naomba kuuliza kama kuna mtu aliyewahi kufanikiwa kutumia Blackberry Mobile phone kama Modem.Nimekuwa nikitumia Nokia E71 Kama Modem mara zote nilizokuwa narudi home TZ likizo na haina shida lakini kwa sasa nimejabadili simu kwa muda natumia Blackberry 8310 na nina mpango wa kurudi Bongo Winter vacation itakuwa muda mfupi kama mwezi hivi,so naona kama itakuwa ni gharama sana kununua modem kwa mwezi mmoja then niiache.Nimejaribu kuangalia katika Blackberry forums nimeona baadhi ya watu wameelekeza jinsi ya kuunganisha lakini sijajaribu naona ni process ndefu na mifano iliyotolewa inalenga sana kwa watumiaji walio USA nami nataka nikatumie Bongo.Sasa je kuna mwana JF ambaye alishawahi kufanikiwa kwa hili au nibebe Modem yangu kabisa nitakaporudi home?
Natanguliza shukrani.
 
no nirahisi kabisa kutumia bb yako kama moderm unatakiwa uwe umeinstall kitu inaitwa blackberry desktop manager ili uweze kuitambulisha nikama nokia pc suite
 
Dr phone tueleze hatua kwa hatua mbona umesema kiufupi sana,ukiwa na BB desktop manager ndio ufanye nini baada ya hapo?
 
Jaribu new desktop manager 5.6 ina IP Modem option....inaweza ikakusaidia...

Pia kuna software za bb as modem...na string zake!!

Pita vodacom victoria ... pale niliwahi enda wakasema wanaweza!!
 
@mfianchi
ukishakuwa na desktop manager latest version inakuwa inauwezo wa kuitambua kama modem kisha unaweza kubrousi kwenye computer yako bila shida sijui kama nimekutosheleza mkuu
 
@drphone
asante mkuu inabidi niishushe desktop manager aliyosema skill ya v5.6 kwani niliyonayo ni v4.7
 
Back
Top Bottom