Habari za siku wapendwa! Siku nyingi ijaingia kwenye mtandao wetu pendwa, ila baada ya kuperuzi kwa siku kama tatu hivi kuna baadhi ya members sijawaona lakini kuna mmoja nimeshawishika kuzijua habari zake ''miss chagga''.
Wapi miss chagga?
Habari za usiku Wanabodi,
Naomba kujuzwa ni Kampuni gani yenye mabasi mazuri yanayotoka Dar es salaam kwenda Bukoba na nauli yake imesimamaje.
Natanguliza shukrani.
Wakaazi wa sehemu tajwa hapo huu, nafuta shule nzuri ya Englsh Medium kuanzia maeneo ya Mwembe Mtengu mpaka Kibada au mbele yake kidogo.
Tafadhali mwenye kuifahamu anifahamishe.
Ndugu Wanabodi,
Kwa kuwa Jamiiforums ni mtandao unaosomwa na watu wengi kuanzia Vijana, Watu wazima, paomoja na Wazee bila kuwasahau Viongozi wa siasa pamoja Kiroho.
Kupitia uzi huu ningeomba tuhainishe matatizo wanayoyopata Wananchi wa kipato cha chini hasa vijijini, changamoto wanazozuipata...
Humanlike robots may seem creepy, but some roboticists are betting they are the key to unlocking a future in which humans and superintelligent computers coexist, work alongside each other and even develop relationships.
Two teams working to develop the most humanlike robots on the planet —...
Sipho Mabuse alizaliwa Jijini Johannesburg- Afrika ya Kusini tarehe 2 Novemba 1951.
Alianza kazi ya Muziki mwaka 1970, akiwa na wenzake walikuwa wakiimba muziki wenye vionjo vya Kiafrika.
Lakini baada ya Ziara yao yenye mafanikio makubwa nchini Zimbabwe, walirejea nyumbani na kubadirisha jina...
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.
Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.
Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu)...
Simu yangu imegoma kukubali kuinstall tubemate, kuna program ya Clean Master inazuia hii program isiwe installed.
Hata nikijaribu kui uninstall haikubali kutoka, toka nilipo update to lollipop.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.