Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,619 1,710 Mar 10, 2016 #1 Wenzetu Kenya naona wanaongoza. The 20 Worst Slums in Africa
Se-ronga JF-Expert Member Jun 3, 2015 650 909 Mar 11, 2016 #2 Mhh,Nairobi hongera zao, kumbe Bongo hakuna slums za kutisha
Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,619 1,710 Mar 11, 2016 Thread starter #3 Se-ronga said: Mhh,Nairobi hongera zao, kumbe Bongo hakuna slums za kutisha Click to expand... Slums za Bongo huwezi kulinganisha na Nairobi.
Se-ronga said: Mhh,Nairobi hongera zao, kumbe Bongo hakuna slums za kutisha Click to expand... Slums za Bongo huwezi kulinganisha na Nairobi.
hyusuph JF-Expert Member Dec 5, 2013 1,655 689 Mar 11, 2016 #4 Kenya duuuuu umaskini umewazidi afu wanajifanya wajanja kumbe kwao yamewashinda
Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,619 1,710 Mar 12, 2016 Thread starter #5 hyusuph said: Kenya duuuuu umaskini umewazidi afu wanajifanya wajanja kumbe kwao yamewashinda Click to expand... Hawana lolote hao, wanaishi kwa ujanja ujanja.
hyusuph said: Kenya duuuuu umaskini umewazidi afu wanajifanya wajanja kumbe kwao yamewashinda Click to expand... Hawana lolote hao, wanaishi kwa ujanja ujanja.