Bei ya vifurushi vya internet kwa sasa ni fashion

Halotel
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-16-06-37-00_696.jpg
    Screenshot_2017-03-16-06-37-00_696.jpg
    6.5 KB · Views: 77
piga *149*01# halafu no 2 ya kwako tu nenda tena na 2 internet hapa sasa nao wanachanganya (wizi mtupu) kuna siku wanakupa 1,000/= 1GB siku nyingine 800MB kwa baadhi
sasa wanatoa tu 500/= kwa 300MB na km unavi-albaki vya chenji wanakomba vyote. 1,000/- hawatoi tena
unakipataje hiyo bando ya voda
 
Airtel wako poa sana kupitia airtel money unaweza kununua vifurushi vya UNIVERSITY OFFER Bila hata kusumbukia vocha zile za vyuoni kwa 1000 tu unakula 2GB &100minutes Airtel_Airtel, 10minutes Other networks within 3 days, hii imekaa poa sana.
Unanunuaje hii?
 
Bado ipo, kwa laini za wanachuo.
IPO mkuu Tsh1500 unapata mb 1229 sawa na 1.2GB dk 200 Halotel_Halotel na dk15 mitandao yote na SMS 1500 kwa cku7 Siyo wana chuo pekee ukienda kwenye branch zao hizo laini zipo Elf10 laini ya chuo
 
Back
Top Bottom