Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,632
- 1,773
Leo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.
Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.
Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?
Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.