Sana Mkuu, mfalme kagalalagazwa.Ila jamaa akiwa anatandikwa huwa anatia huruma.
VPL no mjadala pia, si vibaya kukumbushanaMimi picha ninayoiona ni ya Simba anawinda lakini mjadala umehamia kwenye VPL
Kama ni hivyo basi uzi huu uhamishiwe kwenye jukwaa la michezoVPL no mjadala pia, si vibaya kukumbushana
Simba wanaushirikiano na ni majasiri ndichokinachowasaidia.Mkuu lion ni fighter balaa. Nlikua na io video nzima hapo wamechukua part ya mwanzo tuu. Ila mwisho wa siku simba alifaidi damu ya huyo jamaa.
Alimrukia shingon na kuanza kunyonya damu sema jamaa akakurupuka. Simba(lion simaanishi waliofungwa juzi pole yao) ni something else. Wanajituma sana asee
uzi huu ubaki kwenye jukwaa hili hili. Kuna watu siku hizi wamegoma kabisa kutembelea jukwaa la michezo.Kama ni hivyo basi uzi huu uhamishiwe kwenye jukwaa la michezo
Mkuu sasa hapo unatulazimisha, usiwe kama Jecha watu wamejitoa yeye anasema watashiriki tuuzi huu ubaki kwenye jukwaa hili hili. Kuna watu siku hizi wamegoma kabisa kutembelea jukwaa la michezo.
Mkuu sasa hapo unatulazimisha, usiwe kama Jecha watu wamejitoa yeye anasema watashiriki tu
Jecha yuko sahihi. mtu akiona dalili ya kushindwa anasusa. Haahahahahaaa... Wana msimbazi mara nyingine hata kukaa kimya ni kupinga matokeo. jitokezeni tuMkuu, punguza jazba mi nadhani ni utani tu.
Wewe unaonekana ndiyo Jecha mwenyeweJecha yuko sahihi. mtu akiona dalili ya kushindwa anasusa. Haahahahahaaa... Wana msimbazi mara nyingine hata kukaa kimya ni kupinga matokeo. jitokezeni tu
Mimi yanga Mkuu, tena nipo hapa jangwaniWewe unaonekana ndiyo Jecha mwenyewe
Mimi nimeipenda hiyo video ya wanyama sipo kariakooMimi yanga Mkuu, tena nipo hapa jangwani
Angeweka mnyama mwingine kama vile chui au fisi. Wengine tukiona simba tunaanza kuimba nyimbo za ushindiMimi nimeipenda hiyo video ya wanyama sipo kariakoo
Teh teh teh teh teh tehAngeweka mnyama mwingine kama vile chui au fisi. Wengine tukiona simba tunaanza kuimba nyimbo za ushindi