aikaruwa1983 JF-Expert Member May 6, 2011 1,398 1,500 Jun 3, 2016 #2 kwa hiyo unataka tukashinde kwenye makarakana mwanzo mwisho au.....usikariri maisha ndugu huyo hapo yuko kazini
kwa hiyo unataka tukashinde kwenye makarakana mwanzo mwisho au.....usikariri maisha ndugu huyo hapo yuko kazini
Kyenju JF-Expert Member Jun 16, 2012 4,619 1,710 Jun 3, 2016 Thread starter #3 aikaruwa1983 said: kwa hiyo unataka tukashinde kwenye makarakana mwanzo mwisho au.....usikariri maisha ndugu huyo hapo yuko kazini Click to expand... Sawa yupo kazini lakini si unaona watoto waliomzunguka, wanajifunza nini?
aikaruwa1983 said: kwa hiyo unataka tukashinde kwenye makarakana mwanzo mwisho au.....usikariri maisha ndugu huyo hapo yuko kazini Click to expand... Sawa yupo kazini lakini si unaona watoto waliomzunguka, wanajifunza nini?