Wapi miss chagga!

Wapi miss chagga!

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,335
Reaction score
2,903
Habari za siku wapendwa! Siku nyingi ijaingia kwenye mtandao wetu pendwa, ila baada ya kuperuzi kwa siku kama tatu hivi kuna baadhi ya members sijawaona lakini kuna mmoja nimeshawishika kuzijua habari zake ''miss chagga''.

Wapi miss chagga?
 
Yupo hapa anawachora tuu yupo na ID nyingine
 
Back
Top Bottom