Search results

  1. J

    Tuwekane sawa mbona kwenye katiba wanaohubiri kuungana hoja zao zimejikita kwenye kutengana

    Taifa lipo kwenye mchakato wa katiba mpya, pls ebu tuwekane sawa. Inakuwaje wadau wanao shinikiza kudumisha muungano kwenye content za hoja zao wanapendekeza serikali 3 au 2..je huu ni muungano au utengano...??? Wengine wanataka mamlaka kamili lkn wanapendekeza kuwepo na muungano wa mkataba au...
  2. J

    Ujio wa Obama: Wenzetu wanauliza mambo ya msingi, sie tunajadili mawaziri watakaoshikana mkono

    Salama wanawanchi, Ukifatilia ziara ya Obama Southafrica, utaona jinsi media za kwao zilivyokuwa busy ku speculate mategemea ya wananchi kwa ujio wa obama. Kwetu TZ ni tofauti media na hata watu wenye nyazifa serikalini wapo busy ku-discuss waziri gani atashikana mkono na obama na nani...
  3. J

    Ninyi watanzania tupatieni Rais 2015 kwa kuzingatia haya-MWANANICHI MAKINI

    Ninyi watanzania tupatieni Rais 2015 kwa kuzingatia haya-MWANANICHI MAKINI Utangulizi. Hoja zilizopo kwenye post hii hazilengi mtu yeyoye wala haina nia ya kushawishi wananchi kumchagua mtu fulani na kuacha mwingine. Bali zinatoa mchango katika kuelimishana juu ya maendeleo na manufaa ya nchi...
  4. J

    Kadi ya CCM na chama kinachotawala miaka 51 kukaa zaidi ya mwezi bila kamati kuu ipi ni ajabu?

    Wana wa ndugu najiuliza swali moja nashindwa kupata jibu....naona vijana ambayo ni nguvu ya taifa wote wa CCM na CDM wanashadadia hoja ya kumiliki kadi ya CCM kwa katibu wa chama kimoja tena cha upinzani. Lakini kama vijana ambao wanatakiwa wafikirie taifa nashangaa kwanini hawajahoji au...
  5. J

    Nimelelewa kijijini nakulia mjini nina bahati ya kupendana na wa-kabila langu nakosa aman nifanyeje?

    Nauliza ushauri wenzangu...mie nimelelewa kijijini kwa desturi za kitanzania kwa misingi ya kuwa mtu wa kabila lako kama ni mkubwa basi baba, shangazi, mjomba, au mama...kama ni lika sawa basi kaka na dada. Bahati nzuri nilipofikia umri wangu wa kuwa mtu mzima (18) nilichukuliwa na ba mdogo na...
  6. J

    Siasa ni mchezo mzuri lkn wagombea urais hawa waangalie sana

    Baada ya kuanza kwa chaguzi hizi za CCM naona kunamwelekeo wa kuibuka ugomvi mkubwa kati vigogo wawili wakubwa wote wakiwa wamekwisha ukwa u PM nchini kwetu. Vyombo vya habari viliandika zikazaniwa lbd ni tafsiri tu, mmoja wao leo amedhirihisha kuwa kuna kitu kama hicho nyuma ya pazia. For most...
  7. J

    Chama cha siasa huwa kinakufa hivi au? inamaana CDM,CUF,TLP na NCCR vimekufa?

    Wandugu tujadili bila jazba ili kuweka maana halisi ya kufa kwa chama cha siasa. Kwa nionavyomie chama cha siasa kinakufa pale kinapokiuka misingi yake, kukosa support ya mwananchi na kinapopoteza mwelekeo wake. Nafikirir hii ndio maana kubwa ya kufa kwa chama cha siasa. Tufanye Syria kama...
  8. J

    Hivi TZ hatuwezi kuwa na wanasiasa vijana wa kuongea mambo kama haya (Paul Ryan)

    Nimejiuliza wenzetu wanaongelea nchi yao na issues....lakini wanasiasa wetu wamekazana kuojiongelea wao na wapambe wao.. Inamaana hakuna wanasiasa hasa vijana wenye kuweza kujenga hoja za msingi za kitaifaa?au tumelogwa na ulevi wa usisi na madaraka? Source check Paul Ryan speeches
  9. J

    Hivi kweli chakula ndio kimekuwa kivutio chetu-kweli nyerere tutakukumbuka

    Kadri siku siku zinavyokwenda na hasa mwezi huu mtukufu naona viongozi wetu wanakazana sana kujumuisha watu kwa ajili ya vyakula...na hata kufungua tawi naona wanasisitiza chakula na vinywaji ni bure....je ni kweli chakula kimekuwa kitu cha kutangaza sana kwani tukitoa kinya kimya kuna tatizo...
  10. J

    Nyombo vya Habari kuna matatizo mengi ya msingi kujadili yenye faida ya nchi yetu

    Vyombo vingi vya habari, waandishi na watanzazaji pia msikazane kutafuta makundi ya wanasisa kwa ajili ya maisha yenu binafsi kuna mambo mengi ya kujadili muhimu kwa nchi yetu. nchi yetu inateketea kwa ajili yenu fikirieni vizazi vyenu vijavyooo.
  11. J

    Chadema ombi maalumu msi-generalise sie wana ccm

    Jamani wapenzi na wanachama wa chadema...tunaomba MICHANGO YENU NA HOJA ZENU MSIWE MNATUJUMUHISHA WANA CCM WOTE TAFUTENI JINA AU JINSI YA KUWA MNAWAELEZA HAO WANA CCM AMBAO WANAENDA KINYUME NA CCM ILIYOANZISHWA NA BABA WA TAIFA NYERERE NA BA MDOGO WA TAIFA KARUME. NASEMA HIVYO MAANA TUPO CCM...
  12. J

    Tafsiri yangu..mhh makubwa...kutuletea ma uzoefu ya UN yanatusaidia kweli?

    Waheshimiwa sn...nakumbuka nilienda kusoma miaka ya 1980 hv niriporudi nilirudi na mradi ya afya kwa ajili ya magonjwa ya watoto...,hata Mh. Sugu kama nilisikia aliomba mradi wa maralia watu wakaupiga juu kwa juu auuu????/sasa leo hii watu wanapata kufanya kazi UN kwa miaka mitano.....wanamaliza...
  13. J

    Tafsiri yangu au swali waziri kuanzisha kampuni je nikushindwa kwa serikali kutimiza wajibu wake?

    Hv ma top na magreatthinker tusaidiane kwa hili..,mie nashangazwa na utaratibu huu ambao umezuka siku hizi unakuta waziri anaanzisha kammpuni kwaajili ya kusaidia wananchi wake wa jimbo....je kufanya hivyo sio kwamba ni dalili kuwa serikali imeshindwa kutuhudumia wananchi wake? maana inaonesha...
  14. J

    Hii ndio tafauti ya wasomi na wanasiasa wapenda cheap popularity

    Wakubwa shikamoo na wadogo mambo zenu...!jamani mungu ametuonesha wanafiki na wasio wanafiki ni kina nani.....nasema hivyo kutokana na sakata ili la madaktari, wasomi hawa wanapinga vitu kwa vitendo na kkuonesha msimamo wao kwa kujitoa muhanga wao na kupoteza maslahi yao ktk kudai haki japo...
  15. J

    Unyonyaje budget -ni wapi imeandikwa wanasiasa ndio wanastahili mishahara na mafao makubwa

    Mh. wajumbe wa tafa letu ndali ya JF, nimejaribu kufatilia budget ya nchi yetu nimegundua waheshimiwa mjengoni na wa tawala katika halmashauri wanatumie pesa nyingi sana ktk mishahara na OC, sababu utaambiwa eti wabunge wanawasiliana na wapiga kura wao, mawaziri utaambiwa wanashughuli nyingi za...
  16. J

    Uwiii... Nchi ya kutegemea bodaboda kama ajira kwa vijana!

    Jamani jamanii...natamani kufunga redio kusikiliza kikao cha bunge yaani kila mbuge anasisitizia bodaboda kuwa chachu ya kusaidia vijana eti waondolewe kodi yaani akili zetu wote pamoja na mie tumeshindwaa kuwaza mbinu mbadala ya kukuza uchumi wa kisasa tunafikiria uchumi wa bodaboda.....kaziiii...
  17. J

    Kati ya wanaotoka bungeni na wanaoitwa kwenye cocus wanambembelezwa wanatulia nani watoto?

    Kuna kamchezo wameshaona fashion wabunge wa CCM wanalalamika badae wakiitwa chemba kwao wanambembelezwaa wananyamaza..nawafananisha na watotoo wanaolia wakitaka wambembelezwe tu sijui nakosea au ndio taratibu jamani..unajua huwa nawaza wanasumbuaga nn sasa kama badae wakiitwa tu wananyamaza...
  18. J

    Natangaza nia kuomba ridhaa kwa wananchi ya urais kama mgombea binafsi

    Jamani nilipambana magamba kupinga matumizi mabaya ya raslimali za nchi hii sikusikilizwa.,...nikaamia magwanda nikisisitiza msimamo uwe katiba ivunjwe mwaka huu maana nhi inaangamia naambiwa eti nisubiri hadi 2014 sijui. Ninaumia sana nina sikitika sana najuta nitamwambiaje mjukuu wa mjunguu...
  19. J

    CCM ni lazima ibadilike kesho inajipa aibu na kupoteza wafuasi kabisaa

    Nadiriki kusema CCM hadi sasa imekosa vingozi vijana makini wanawoweza kueneza sera na kufanya siasa kwa ufasaha na ku-win public kama ilivyo kwa CHADEMA. Kwangu mie kwa mazungumzo niliyosikia mtaaani, maofisini na vijiwe vya kazi naona kesho CCM jangwani inaendaa kuvuna aibu. Watu wataenda na...
  20. J

    M4C imekosewa mahesabu haitafanikiwa

    Nadiriki kusema M4C na gwanda operation ya chadema ni starategy nzuri lakini wamekosea mahesabu... Hii ilitakiwa kuanza si chini ya mwaka mmoja na nusu au mmoja kabla ya 2015. CCM kama wanaweza kutumia udhaifu huu basi ndio itakua mwisho wa CDM...lkn kama wataendelea na propoganda na kuuza...
Back
Top Bottom