Uwiii... Nchi ya kutegemea bodaboda kama ajira kwa vijana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwiii... Nchi ya kutegemea bodaboda kama ajira kwa vijana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Jun 19, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani jamanii...natamani kufunga redio kusikiliza kikao cha bunge yaani kila mbuge anasisitizia bodaboda kuwa chachu ya kusaidia vijana eti waondolewe kodi yaani akili zetu wote pamoja na mie tumeshindwaa kuwaza mbinu mbadala ya kukuza uchumi wa kisasa tunafikiria uchumi wa bodaboda.....kaziiii ipoooooooooooooooooooooooooooooo:hand:
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Hii nchi unaweza kukufuru! hivi tumepeleka bungeni watu gani? 99.99999% ya pumba zinatokea CCM tena wale wa viti maalum ndio usiseme!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi ccm wanaamini nchi hii itaendelea kwa mtindo wa bodaboda?
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Wakati kuna mahospitali yametenga hadi wodi maalum kwaajili ya watu wa bodaboda tu kutokana na misururu ya ajali za bodaboda.
   
 5. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu...niliwahi kualikwa marekani na kiongozi mmoja wa republican...nilipofika nilishangaa wanavyoendesha serikali zao nikamwambia kwa kithungu..."I real appreciate the way your system works" akanijibu "that is why we are here" sasaa sijui ukimuuliza kiongozi wa serikali wa tanzania kuhusu bodaboda atakujibu that is why they are there??????/
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tufwile uswe bapina
   
 7. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mwaka huu hawa machizi wanashabikia boda boda zimetoa ajira mwakani watatuambia biashara ya uchangudoa nayo imepatia wadada ajira
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
   
 9. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  By Msigwa; wachungaji tunaombea wazinzi, wenye pepo na siyo kuombea uchumi. Unatakiwa ufanye kazi, ufikiri zaidi. Not being insane!
   
 10. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mambo ya ajabu kweli, yaani bora umeme umekatika.
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Unashangaa nini, kuna mmoja alisema ukosefu wa maji jijini unatoa ajira kwa vijana.
  Tanzania, kisichowezekana ndicho kinachowezekana, tushangae siku ya kuwezekana kisichowezekana sasa.
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  SILLY BUNGE,


  [h=6]Tupo hapa tulipo kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais, bunge legelege na upuuzi wa CCM- J J Mnyika[/h]
   
 13. regam

  regam JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Utaambiwa huna nidhamu
   
 14. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu bora sasa bodaboda, waliwahi kusema kuokota makopo nayo ni ajila!
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  alafu kuna mjinga mmoja humu JF anawataka walio majuu eti warudi bongo.....upumbavu kama huu ni bora uwe unausikia ukiwa mbali......
   
 16. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  natamani siku moja MOI wakawabebe wabunge sita tu wakashinde maeneo ya pale na kuobserve aina ya wagonjwa wa ajali waliopo. Yaani in 30 admissions of polytrauma,multiple fractures and brain injuries zinazolazwa 1 ni uzee,2 ni kuanguka kutoka juu, 4 ni ajali za gari 23 ni ajali za pikipiki tena za kizembe! Haya mambo wanashabikia huku wakijua kuna vilema kibao wanatengenezwa kila siku. Huu ni upuuzi unaofanyika baada ya kushindwa kutimiza majukumu yao na kubaki wakiropoka vitu hovyo hovyo.
   
 17. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Eee eghe eghe! Malaika kutoka kwa Mungu wa rehema ashuke haraka kuwafufua wabunge wa ccm.

  Uuuuuh! Kama Nchemba ni first class economist na ninayosoma na kusikia toka bungeni ndo upeo wake basi tunahitaji kujua neno kubwa au kisifa kinachotangulia kabla ya "first" i.e "Fool First Class Economist" Kwa upuuzi uliojaa ndani ya michango ya nchemba hata wagonjwa wa milembe hafai kuwafundisha. Seuze Jembe Lissu?
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchumi utakua endapo serikali itaongeza vyanzo vya ajira na si kujiunga na kundesha pikipiki. Ni vema ikaongeza uanzishwaji wa Viwanda vipya na hapo ndipo uchumi utakapo kua.

  Tuache porojo Watanzania, tufanye kazi.
   
 19. B

  Bob G JF Bronze Member

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CCM imefika mwisho haiwezi kufikiria tena! CCM na serikali yote ni Dhaifu na sasa hivi inachofanya ni kutukomoa 2
   
 20. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kuruhusu wasio na akili kuongoza wenye akili, ili mladi kujipendekeza wapate vyeo,.
   
Loading...