Tafsiri yangu au swali waziri kuanzisha kampuni je nikushindwa kwa serikali kutimiza wajibu wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafsiri yangu au swali waziri kuanzisha kampuni je nikushindwa kwa serikali kutimiza wajibu wake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Jul 11, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hv ma top na magreatthinker tusaidiane kwa hili..,mie nashangazwa na utaratibu huu ambao umezuka siku hizi unakuta waziri anaanzisha kammpuni kwaajili ya kusaidia wananchi wake wa jimbo....je kufanya hivyo sio kwamba ni dalili kuwa serikali imeshindwa kutuhudumia wananchi wake? maana inaonesha kuwa mtu anaweza kuwa kwenye serikali na kama serikali akashindwa kusaidia wananchi wake na kuamua kuanzisha kampuni kwa ajili ya wananchi wake...sijui na pesa za kuanzisha kampuni zinatoka wapi tena?lbd mfukuno...lkn je serikali haina pesa inazidiwa hata na waziri anatoa pesa yake kuanzisha kampuni...lbd ni wafadhili je serikali haina wafadhili wa kusaidia wananchi ni maswali bado najiuliza..nafiokiri nitapata majibu tusaidiane nchi hii yetu sote kama serikali imeshindwa kutusaidia basi bora kila kiongozi aanzishe kampuni kusaidia wananchi wake.....

  Tafsiri yangu ni hii yako je?
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ukiwa na kampuni utamwajiri meneja na wafanyakazi wengine ambao utakuwa na mamlaka nao, viongozi wengi wa umma ama waajiriwa wa serikali hawako kwa ajili ya maendeleo wako kutimiza majukumu na wajibu wao, hawana ari wala motisha, wanaenda kazini sababu hawana jinsi
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Syoni ubaya wowote ule na mshahara wa milioni 10 plus posho ,kama mtu anania anweza kuanzisha kampuni hiyo kwa waliompigia kura ni litega uchumi binafsi alimuradi tu kampuni hiyo imefuata sheria.

  Serikali inahitaji mtaji mkubwa sana kuanzisha kitu hicho kwa maana inahitajika Tz nzima bila ya kubagua sehemu na inahitajika kuanzisha miradi ya maendeleo kwa sehemu zote hivyo ni vizuri kujikita katika mambo muhimu zaidi infrastrucrure kwa nchi nzima kama hayo mabarabara mashule ya kisasa maji na umeme
   
 4. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni namna fulani ya ubunifu ambao unahitajika kwenye zama hz.Mi naona sawa tu
   
Loading...