Chadema ombi maalumu msi-generalise sie wana ccm

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Jamani wapenzi na wanachama wa chadema...tunaomba MICHANGO YENU NA HOJA ZENU MSIWE MNATUJUMUHISHA WANA CCM WOTE TAFUTENI JINA AU JINSI YA KUWA MNAWAELEZA HAO WANA CCM AMBAO WANAENDA KINYUME NA CCM ILIYOANZISHWA NA BABA WA TAIFA NYERERE NA BA MDOGO WA TAIFA KARUME.

NASEMA HIVYO MAANA TUPO CCM WENGI TUU TUNAFIKIRI NA KUTAKA NCHI YETU IENDESHWE VIZURI KAMA NINYI LKN KUNA BAAZI YA WENZETU NDIO WANAKWENDA NDIVYO SIVYO.

WAMEKUWA WATAFTA VYEO NA SIO WATUMIKIAJI WA WANANCHI KAMA ILIVYOKUWA KWA WAASISI WETU..

ZAMANI KIJANA WA CCM ALIKUWA MSTARI WA MBELE KUTETEA TAIFA HUKU AKITEMBEA KWA MIGUU SIKU HIZI VIJANA WAMEGEUKA KUPAMBANA KWENYE MEDIA NA MAJUKWAANI KWA KUTEMBEA KWA V8 HUKU WAKITUHAMASISHA SIE WANA CCM SAFI MA GREEN GUARD TULIOJITOLEA KUKITUMIKIA CHAMA KAMA MAKAMANDA TOKATOANE MENO NA KUUANA.

NAZANI CDM MTABADILIKA KUTUJUMUISHA WOTE
 
Tatizo ccm imeshaanza kupractise kuwa chama cha upinzani kwa mbinu chafu!Mmeua wana chadema sana,mkaona mbinu hiyo hamfanikiwi sasa mnajitoa kafara ili cdm ionekane vibaya!NAKUHAKIKISHIA HAKUNA MTANZANIA MWENYE KUITAKA CCM KWA SASA,ISIPOKUWA ANAYEPATA riziki toka ccm
 
You have only one option. Hamia kwenye upande wa haki, toka kwenye matope ya udhalimu. Kwataarifa yako. Sita na mwakembe wanastori kama zako lakini tuwavutie muda kidogo utaona.
 
Sasa na we JF-MBUNGE kwani chama ni ukoo?
Kama inakuuma hamia chadema ukaungane na wapambanaji
 
Last edited by a moderator:
Kwan CCM ni baba yako? Si uende huko walipo wenzako?

Nilijua swali hili lingekuja tuuu...!na pia nilijua swala la kuwa hakuna mwanaCCM ambaye hana maslahi binafsi aliyepo CCM sasa. na majibu ya haya ni simple....

Bado wanachama wengi sana wa CCM tupo ndani ya chama chetu bila maslahi binafsi kwa sababu tu tunaamini na ndio ilivyo bila msingi mzuri wa nchi yetu aliowekwa na viongozi makini wa CCM nchi yetu itaayumba.

Hivyo basi narudia tena hivyo basi...kwa aliyeuliza swali tunafanya nn huku....kma unafatilia vzr siasa za nchi yetu jibu la hili lipo wazi sn...CDM ambao mnalilia ustawi wa nchi yetu walinena kuna wana CCM....ngiii tena hadi viongozi wameomba kujiung......aa...utajza mwenyewe watu wanasubiri waone kama haya yanayonenwa mabadiliko ya CCM ni kweli au basi tuu ni usanii unaendelea asante sn sn
 
nikiona hii rangi na hii sura tumbo linauma

avatar11941_3.gif
 
Sawa kaka. Generally speaking ccm is mediocre specifically speaking ccm is mediocre.
 
kwan ww ni nan yako??!!!fata ushauri wa mwenzako..kilaza ww:yawn:[/QUOTE

ASANTE KAKA KWA KUNIREKEBISHIA HUYO K.KARUDI MAANA MIE NILIMPUUZIA TUU ANAZANI LABUDA SIE CCM TUNAOTOA MAONI MUHIMU KWA CHAMA NA NCHI TUMETOSWA NA SYSTEM HII, ANAJIDANGANYA PENGINE TUNAMZIDI HATA E YEYE ILA TUNATUMIA AKILI ZETU KUFIKIRI KWA FAIDA YA NCHI YETU NA VIZAZI VYETU VIJANYO.
 
Nilijua swali hili lingekuja tuuu...!na pia nilijua swala la kuwa hakuna mwanaCCM ambaye hana maslahi binafsi aliyepo CCM sasa. na majibu ya haya ni simple....

Bado wanachama wengi sana wa CCM tupo ndani ya chama chetu bila maslahi binafsi kwa sababu tu tunaamini na ndio ilivyo bila msingi mzuri wa nchi yetu aliowekwa na viongozi makini wa CCM nchi yetu itaayumba.

Hivyo basi narudia tena hivyo basi...kwa aliyeuliza swali tunafanya nn huku....kma unafatilia vzr siasa za nchi yetu jibu la hili lipo wazi sn...CDM ambao mnalilia ustawi wa nchi yetu walinena kuna wana CCM....ngiii tena hadi viongozi wameomba kujiung......aa...utajza mwenyewe watu wanasubiri waone kama haya yanayonenwa mabadiliko ya CCM ni kweli au basi tuu ni usanii unaendelea asante sn sn
Woote mnasuburi u-DC tu
 
Back
Top Bottom