Search results

  1. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hakuna tena wa kuwazuia kipiga Rafah... Duh Gaza ndio kwa heri tena. Two Israeli hostages rescued during an overnight mission in Rafah. During a joint operation between the IDF, ISA, and Israel Police, two Israeli hostages from Kibbutz Nir Yitzhak were rescued: Fernando Simon Marman (60) and...
  2. K

    Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

    Duh, pole sana... Kuna jamaa mmoja nilimuona nae alikuwa hivyo hadi nywele hazioti. Nikampa dawa moja ya Kimasai, inaitwa Oltemwai au Ndemwai... Akaja kunitafuta kwa shukrani. Tafuta hiyo dawa, ukikosa nitafute nikuuzie... Usisahau kuleta mrejesho.
  3. K

    Tunauza Rozela safi toka shambani. Agiza popote ulipo nchini Tanzania

    Ungeweka na bei. Pia useme hiyo bei inahusisha au haihusishi nini. Kwa mfano Ninauza rozella kwa bei ya Tsh 5000 kwa kilo. Bei inajumuisha na gharama za kupeleka mzigo sehemu ya kutumia. Gharama za kutuma mzigo ni za mteja. Au bei ni .... ukinunua kuanzia kilo... nitakutmia bure. Mtu...
  4. K

    Badala ya kubariki watoto na kizazi chako unabariki Israel usiyoijua wala isiyokujua; Acheni uchizi

    Kutokujua nafasi ya Israel katika mambo ya kiroho, siasa za dunia, na uchumi ni shida kwako na hao una waona wewe mazwazwa. Lakini kutokujua hakuondoi ukweli, kwamba Israel itabaki kitovu cha mambo ya kiroho, kisiasa na kiuchumi ya dunia. Na hii ikawe ishara kwamba yupo Mastermind nyuma kila...
  5. K

    Vishilingi kichwani msaada wa dawa

    Tafuta dawa inaitwa Oltemwai. Ni dawa asili ya kimasai. Inamaliza magonjwa mengi sana ya ngozi. Ukikosa nitafute
  6. K

    Mwanangu ana Sickle Cell, tiba yake nini?

    Ni kweli, nimeshudia pia. Itapona. Mungu ni mwema
  7. K

    Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Nisikilize.... Wewe kunywa vidonge vya Vitamin C, kama 100gm kila siku, kwa muda mwezi mmoja, unaweza kuendelea. Mkeo akishika mimba aanze progestrone tablets sio chini ya miezi mitatu ya kwanza. Mungu sio mwanadamu, mtapata watoto. Kila la heri
  8. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    ...nimepunguza 2,000 kwa SQM, njoo uchukue...
  9. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    Asante kwa maoni Nafikiri nimeweka sawa, bei inazungumzika. Labda kama kuna kikwazo kingine, nipo tayari kushaurika. Asante
  10. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro. Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga...
  11. K

    Jambo Jema kutoka Afisa yoyote wa Polisi..

    🤣🤣🤣🤣 Ulikuwaje tena?
  12. K

    Jambo Jema kutoka Afisa yoyote wa Polisi..

    Ilikuwaje mkuu? Funguka basi. Asante sana WP Leti kwa wema wako. Pumzika kwa amani. Wema ulioutenda uzao wako/uwapendao waje wale matunda
  13. K

    Jambo Jema kutoka Afisa yoyote wa Polisi..

    Habari za waungwana. Pamoja na kuwa kuna msemo kuwa samaki mmoja akioza basi wote wameoza, inaweza ikawa tofauti. Naomba kuuliza je, kuna wakati umekutana na afisa/askari wa polisi akakutendea kwa utu, heshima na huruma? Kuna mifano mingi, ikiwemo kuwapa chakula mahabusu ambao huwa hawajaletwa...
  14. K

    Kwa haya yanayoendelea Pemba, ni vema sasa Serikali isipeleke Watumishi Wakristo

    Kinaweza kisimteme... lakini akafeli hadi kupiga factor matokeo ikashindikana. Lakini hata waibaji nafsi zinawasuta mtu kutoka pande zile akae pale juu.
  15. K

    Kwa haya yanayoendelea Pemba, ni vema sasa Serikali isipeleke Watumishi Wakristo

    Ukweli mchungu... Hatachaguliwa, sio kwa sababu ya uongozi mbaya, au jinsia yake... lakini ni kwa sababu ya Uzanzubar wake... na hawa wanazidi kuchochea hilo. Time will tell.
  16. K

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Poleni sana... Kuna dawa ya Asili, nimetumia, Nina rafiki zangu kadhaa wametumia, imewasaidia sana. Huyu mwingine alikuwa amefanyiwa operation mara mbili. Lakini ametumia amepona kabisa. Kama bado hujapata msaada, unaweza kusema nikakutumia ujaribu. Pole sana
  17. K

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Unatembea kwenye nadahria yangu. Nahisi ni kweli Urio na Mbowe wameshawahi kusaliana na labda Urio ndio aliyempa Mbowe idea ya kuwa na walinzi. Akijua anatenda wema Kwa ndugu yake Mbowe lakini anawatafutia washkaji zake wanaoteseka mtaani kazi. Siamini kama alimaanisha kuwachoma. Ila katikati...
  18. K

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Ninavyoona Urio ni mhanga... Anatia huruma sana. Hasa pale Aliposema Kibatara kuwa hatokei kwake wala Hotelini. Nahisi anahitaji kuonewa huruma pia. Kwa alivyokuwa na ushikaji na hao washtakiwa wengine, anaonekana amelazimishwa. Namuombea kwa Mungu, ameyafanya haya kutunza uhai wake maskini.
  19. K

    Kwaheri Pastor Zephaniah Ryoba

    Ni kweli kabisa unachosema, Pastor Ryoba alikuwa wa tofauti sana, upendo wa kweli uisobagua lakini alikuwa mkweli sana kwenye mahubiri yake.
Back
Top Bottom