Kwa haya yanayoendelea Pemba, ni vema sasa Serikali isipeleke Watumishi Wakristo

Kutowapeleka pia ni kuwanyima haki yao ya Utanzania (haki ya kikatiba). waache uzuzu hao wajinga wachache wanaofanya usilamu uonekane mbaya na chokochoko, nchi sio yao peke yao hadi wajiamulie, kwanza sio nchi ya kidini, kwani waliambiwa kanisa wanajengewa wao?
Hao hawawezi kubadilika, Kwa hiyo ili kunisuru maisha ya Wakristo na kulinda Imani Yao Bora serikali isiwapeleke.
 
Sehemu kubwa ya kumtawala binadamu Ni kuteka kichwa chake. Mwambie tu masanja sio jina Safi mbele ya Nyumbani Bali Abdallah ama Daniel,pia mwambie mavazi na vyakula I I ndivyo vinavyofaa. Pia program mind yake akiwa angali kadogo Ni kazi mno kutengua iyo program ama ishakuwa Ni subconscious level inafanya kazi in automation without thinking.
Mie Sina dini ambayo sio asiri ya afrika. Naishi Kama mababu walivyoishi.

Yani kitu ambacho wenye uelewa Ni kupandikiza mtt angali mdogo kuwa wewe uko njia sahihi yule hayuko njia sahihi pia uweke chuki amchukie. Yaani beliefs or Imani Ni energy jamani Tena energy kubwa. Ukinitukania mama yangu tusi kubwa la nguoni Ile beliefs ndio inayoniambia kuwa huyo amekudharau so na react na energy kubwa hata kupigana nk Ila tusi lenyewe sio kuwa linakuumiza ,Mana ningetukana kwa kichina ama ki Indonesia nadhani usingeahtuka. So Kuna beliefs umezihifadhi katika kichwa chako ndizo zinatuma taarifa ya wewe kujitete utu wako. Binafsi hata unitukaneje siwezi jibu kitu naongea kawaida.

Labda unipige ama uchukue kitu changu hapo Nita react violently and vigorously.

Jamani angalieni watt wenu how to program their mind ndio assets kubwa mno hapa duniani. How you think is all about life. Wawili tumefunia mmoja akaua mmoja akasepa zake home mke akaondoka akaoa ,so unadhani Ni Nani mwenye hasara.


Wote tunapata pains/loss/failure,kupigika,kukosana na watu wa karibu but how we react is all makes difference in our life.


In short life is 95% how you react to an action and 5% action yenyewe.
Life is 95%mindset and 5%strategy sema wengi tuna reverse hii kanuni.

Kukata mti 95% of time sharpen your axe then 5% of time cut the tree Mana shoka Ni Kali.


It's like we suffer more in our imagination than in reality itself.


Western Protestant work ethics ime program dunia ama sie kuwa we've to work very hard to earn a living but it's a lie tusipofanya kazi tuna feel Ile guilt ,yaani mtu yupo tayari afanye kazi naye aheshimike regardless anachopata kwenye kazi. The key here is to work smart. Mbona mabaamedi , vibarua wa viwandani na wengineo hata kwenye umiminaji wa zege Wana weki Hadi Ila wanapata malipo kidogo. So hii Ni mentality ilipandikizwa ili watu wavuje jasho kwa maslahi ya wenye mashamba like walowezi.

Naombeni mfundishe watt wetu upendo na sio hate,racism,religionism,

Let me niishie hapa kumbuka mie sio religionist but am spiritual subiria tutaonana huko mbinguni na beliefs zako.


Uliambiwa uliibiwa Shati toa na koti na kweli wakaiba almasi wakapewa na gold. Wakachapwa mgongoni wanageuza na usoni Mana ukizabwa kibao la kushoto geuza na la kulia.

So hapo jamaa walikuwa wanajengewa mentality kuwa wamuachie Mungu atawalipa.
Mbona wao walituuza utumwani na kutuibia na kukutumikisha mashambani mwao na kutuua na kutuibia Mali zao hawakujua kuwa mbinguni Kuna Moto kweli.



Walikuwa Wana program our mind na ndio Mana unaambiwa show me your friend I will tell you your behavior na ndio Mana cheki dizaini ya wanawake ambao mkeo ana socialize nao.
Asee wewe jamaa umeandika Nondo kali sana kama wote wanaosoma huu uzi wamepitia vzri asee that's how we live...mengine haya bwebwe tu na bla bla zisizo na maana... Ulimwengu hautakuja simama mambo haya mtayaacha tu...and Nothing you earn than Illusion na kudanganyana...
 
Siwezi kuwaita wajinga wachache kwa sababu ndio msimamo wa zaidi ya asilimia 90 ya waislamu wa huko. Ndo maana ili kuepusha tafrani Serikali isipeleke watumishi Pemba kwa lazima kwani ni kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuabudu.
Wewe Umeona ni serikali tu yenye watu wa dini tofauti? Je wafanyakazi na wafanyabiashara na wageni wanaoenda Pemba kwa masuala ya kitalii? Hawaruhusiwi kutelekeza imani zao kisa wapo Pemba?
 
Oendekezo langu ni kwamba waendelee kupelekwa wao Peke yao Kwa vile wanajuana kijamii na kidini.
Kuna madhara makubwa ndiyo maana kesi nyingi za kulawiti watoto hazifiki mahakamani zinaishia kwenye ngazi za familia utakuta mtuhumiwa wa kulawiti mtoto mjomba wake mkuu wa kituo cha polisi baba yake mdogo hakimu, wakili shemeji yake na mpelelezi aliingiziwa polisi na baba yake.
 
NAPENDA TU KUKUMBUSHA, WAKIJIONA WANA HAKI YA KUUA WENGINE, WASISAHAU WANA HAKI YA KUAWA NA WENGINE.
 
Inatia aibu kuona tunabaguana kwa misingi ya dini za kuletewa. Ujinga wa mwafrika ndio huo. Kibaya zaidi hao Wapemba na waislamu wote huku kwetu wanaishi vizuri sana na wanapata haki ya kuabudu bila shida. Anyways, hao walioandamana ni section tu ya wajinga ambao kwenye kila jamii wapo.
Mkuu huu sio ujinga wa waafrika ni ujinga wa waislamu
 
Watu wengi waliopata elimu ya dini pekee huwa ni wajinga wajinga flani.
Watazame wale jamaa ambal ulokole umewakolea kichwani, tazama wale masheikh ambao uislamu umewakaa kichwani, tazama wale wasabato kindakindaki.

Yaani haya mambo ya dini unatakiwa ushike ila uwe na exposure na upate hii elimu yetu ya kawaida vinginevyo utawaona watu wa imani nyingine hawafai wewe tu na watu wa imani yako ndio mnafaa.
 
Back
Top Bottom