Search results

  1. T

    Bongo lala Kajala ilikuwa lazima aachike na Harmonize

    Kijana kampenda kweli yule dada, shida dada yule hana mipango anawaza kutumia pesa tu na si kuzitafuta. Amepata fursa ya kuwa manager ili ajipatie kipato halali KUPITIA ubunifu wake na kujituma lakini maskini ya Mungu dada lile ni bongo lala kwake umeneja ulikuwa ni mzigo mzito sana. Dada yule...
  2. T

    Je, Humphrey Polepole ni Spika wa Bunge mtarajiwa?

    Wakuu habari, Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa. Hivi mnafikiri Mr Polepole ni wa hadhi ya kuwa mbunge tu? Ili iweje? Ubunge wake lazima uwe kwa maslahi mapana kabisa ya taifa na hivyo basi anastahili zaidi...
  3. T

    Tunafanya maombi huku tunaendekeza uzembe. Tutatoboa kweli na hii Corona?

    Wakuu wasalaam, Naandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kwenye Coaster moja kuelekea mji fulani. Nilichoshuhudia humu ndani ni upumbavu wa kiwango cha juu sana raia hawajionei huruma kabisa kama kuna janga la corona. Gari haipo "level siti", watu wanaminyana na kusogeleana sana, watu...
  4. T

    RC Aggrey Mwanri anatosha Jiji la Dar es Salaam, mzee baba mfikirie

    Wakuu wazima?poleni kwa heka heka za hapa kazi tu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa kweli huyu mheshimiwa ni kipenzi cha watu sana na ni mchapakazi hodari mwenye uadilifu mkubwa.Kwa sifa zake hizi zilizotukuka anastahili kupewa ukiranja wa jiji kubwa la Dar es salaam.Naamini wana Dar...
  5. T

    Mnakera sana mabinti mnaolazimisha ndoa

    Wanajamvi Heri ya mwaka mpya, Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu. Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA...
  6. T

    Baada ya ushindi wa asubuhi, tuunde chama kimoja cha UKAWA

    Salaam Wanajf, Ni dhahiri kwamba Ukawa wanaenda kushika dola.Ndugu zangu wananchi wana mwamko mkubwa sana huku mtaani kuliko mnavyofikiri.Huyu Lowassa huyu sijui kawapa nini watanzania.Ni balaa tupu. Katika hali kama iyo ninaomba baada ya ushindi mzito haraka sana tuunde chama kimoja cha siasa...
  7. T

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Ndugu salaam, Kama mlivyosikia Bw. Kinana akitoa kauli za kejeli kuhusu makapi vs chaguo. Bila shaka akimlenga Lowassa pamoja na watajwa hapo juu walioshindwa katika kinyang'anyiro cha uraisi na ngazi nyenginezo. Hivyo basi kwa kuwa makapi hayatakiwi CCM na kwa kuwa pia CCM ina wenyewe napenda...
  8. T

    Ombi langu kwako raisi lowassa tafadhali usiwatupe watu hawa kwenye ufalme wako

    Salaam wanandugu, Baada ya salaamu naomba kutumia jukwaa letu hili pendwa na lisilo na mpinzani Afrika mashariki na kati kumuomba Raisi wa awamu ya tano ndugu Lowassa awakumbuke hawa wafuatao katika baraza lake la mawaziri: 1.Ndugu Zitto Kabwe-Wizara ya Fedha 2.John Pombe Magufuli-Wizara ya...
  9. T

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    Wanajamvi salaam, Taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika zinasema wanaukawa wamekubaliana mambo ya msingi kama ifuatavyo: 1.Ndugu Edward Lowassa kuwa mgombea uraisi Ukawa. 2.Mwenza wake ni Dk Slaa na waziri mkuu mtarajiwa ni Lipumba ambaye atagombea jimbo la Mbagala. 3.Zitto Kabwe...
  10. T

    Ccm hii formula rahisi sana kumpata muwakilishi wenu nafasi ya uraisi

    Angalieni idadi ya wadhamini waliojitokeza kwa kila mtangaza nia.Jumlisheni hizo namba halafu namba kubwa ipitisheni.Hata mtoto wa Chekechea anaweza fanya hiyo hesabu.Kazi kwenu..
  11. T

    Wanawake wapenda pesa(gold diggers) ni mzigo kwenye mapenzi

    Habari ya mwaka mpya mabibi na mabwana. Kichwa cha habari kinahusika. Katika kautafiti kangu kadogo nilichofanya nimejiridhisha kwamba wanawake wanaotanguliza pesa katika suala zima la kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi wengi huwa ni wabovu kitandani na hawana ubunifu wowote katika maisha...
  12. T

    Hivi kwanini marehemu Karume alikuwa hana umaarufu kimataifa?

    Ndugu wanaJf nimesikia viongozi wengi wakitajwa kwenye ukombozi wa Bara la Afrika kimataifa lakini huyu marehemu Abeid Amani Karume simsikii kabisa.Kitu gani hasa kimemfanya akakosa umaarufu kiasi hicho?Najiuliza pengine ni udhaifu wake wa kushindwa kutawala na kuikabidhi nchi kwa mkoloni mweusi...
  13. T

    Wanatafutwa wawekezaji maeneo ya madini yaliyopimwa

    Wakuu salaam, Kichwa cha habari kinahusika.Ninaomba kama kuna mtu yupo nje ya nchi ama ndani ya nje mwenye exposure na uzoefu wa kutosha tuwasiliane kwa pm kisha tutapeana contact kwa mawasiliano zaidi. Kuna vitalu vya madini ya dhahabu na copper ambavyo tumeshavifanyia utafiti na business plan...
  14. T

    Watanzania tujikite kwenye uzalishaji tupunguze uchuuzi na biashara za ujanja ujanja

    Wakuu salaamu, Kichwa cha habari kinahusika.Ukisoma kwenye kijitabu cha muongozo cha kituo cha uwekezaji Tanzania 2013-2014(Tanzania investment guide book 2013-2014) utaona kwamba nchi yetu ina maeneo mengi sana mazuri kwa ajili ya shughuli za kilimo na nyenginezo.Nanukuu toka kwenye kijitabu'...
  15. T

    Kumbe hayakuwa mapenzi

    Wana MMU mambo vipi? Kuna nyakati nilipata mkasa mmoja wa kusikitisha sana.Ni kuhusu mrembo mmoja ambaye nilifukuzia takribani miezi sita bila majibu ya kueleweka lakini siku ya siku alikuja kunasa kiulaini sana mpaka nikaogopa.Yani alikuwa anajiachia huyo na outing nyingi za hapa na pale...
  16. T

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Lindi

    Wakuu, Kama mtakumbuka halmashauri ya manispaa ya Lindi ikishirikiana na UTT walipima viwanja eneo la Mitwelo karibu na fukwe na walivitangaza karibia nchi nzima.Watu wamegaiwa ila kwa bahati mbaya sana kuna mdau kapata eneo la kama mita za mraba 2,792 hivi chenye gharama ya takribani...
  17. T

    Kiwanja kilichopimwa kinauzwa lindi

    Wakuu, Kama mtakumbuka halmashauri ya manispaa ya Lindi ikishirikiana na UTT walipima viwanja eneo la Mitwelo karibu na fukwe na walivitangaza karibia nchi nzima.Watu wamegaiwa ila kwa bahati mbaya sana kuna mdau kapata eneo la kama mita za mraba 2,792 hivi chenye gharama ya takribani milioni...
  18. T

    Semina elekezi namna ya kupost thread zenye mvuto na wachangiaji wengi

    Salaamu wandugu, Kichwa cha habari kinajieleza.Ninaomba wale magwiji akina Mzee Mwanakijiji Kiranga lara1 faiza foxy AshaDii Yericko Nyerere Pasco wa Jf mohamedi Saidi Nguruvi3,@Zito Mwigulu Nchemba Heaven on Earth Excel Tyta na mabingwa wote wa majukwaa yote ambao wanafahamika kwa thread zao...
  19. T

    Mwenye file la hati ya muungano alimwage hapa

    Salaam wandugu, Kichwa cha habari kinajieleza.Kama kuna mwenye nalo ambalo liko kwenye pdf,html,doc au vyovyote vile atupe tujisevie. Shukrani.
  20. T

    List them in ascending order according to your opinion and explain why

    Love for Life? 12 Animals That Are (Mostly) Monogamous [Slide Show] Is monogamy a myth even in the animal kingdom? Not necessarily. A look at animals that are said to pair off for life 12 of 12 Kirk's Dik-dik The doe-eyed does of these dainty African antelope seem...
Back
Top Bottom