Mnakera sana mabinti mnaolazimisha ndoa

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,520
461
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.

Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA straika.

Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.

Mwaka huu wa 2016 hii tabia muache kabisa.Ujumbe umefika.Alamsik
 
Unalo

Unaloo hilo, janaume zimaa kufunga mdomo huwez
 
wanaokera zaidi ni wale wanaotegesha mimba, anajua yuko siku mbaya, anakuja kulala na wewe utastukia tu baada ya mwezi anasema haoni siku zake na hawezi kuua kiumbe cha Mungu. kidogo tu anakwambia anahamia kwako kwao amefukuzwa kumbe hata hajafukuzwa.
 
Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.

Usilopenda kufanyiwa usiwafanyie wengine, fikiria binti yako anafanywa kiburudisho, anabebeshwa mimba na aliyempachika ujauzito anakwambia hana mpango na mwanao ila ilikua kiburudisho.

Wakati unashauri mabinti wabadilike, jitathmini na wewe mwenendo wako unafaa?
 
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.

Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA straika.

Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.

Mwaka huu wa 2016 hii tabia muache kabisa.Ujumbe umefika.Alamsik
Post imejaa unyanyapaa na madhaifu mengi
 
Engine wanatumika kama viburudisho au vinoleo vya kisu tu, wa kuchinjwa ni wengine!!!!!
 
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.

Basi wanaanza kero zao za utanioa lini..Unakuta binti mwenyewe goigoi kabisa lakini anavyolazimisha utadhani bonge LA straika.

Mabinti acheni papara na kukurupuka kama wewe ni mchezaji nzuri tutakusajili tu kwenye taasisi ya ndoa bila wewe kutumia nguvu yoyote ile.Na sio lazima nikiwa na wewe lengo ni ndoa tu wengine kwa ajili ya viburudisho tu.

Mwaka huu wa 2016 hii tabia muache kabisa.Ujumbe umefika.Alamsik
Bora umenisaidia maana Huku kwangu moto unawaka
 
Miaka saba au 9 au 5 unamfanya mtoto wa watu kiburudisho wakati wanaomtaka wamuoe wapo ila kwa vile anakupenda anakusubiria,mwanaume hata umpe nini hamridhiki
 
Hapo kinachokera ni nn??..Au we ni dhaifu unaogopa ukilazimishwa utakubali?
 
Kheri yule anayekuambia anataka kuolewa kuliko yule ambae mnakula bata tu, siku ukiwa tayari anakushushua kwamba yeye hana haja ya kuolewa.
 
Back
Top Bottom