Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Lindi

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,520
459
Wakuu,
Kama mtakumbuka halmashauri ya manispaa ya Lindi ikishirikiana na UTT walipima viwanja eneo la Mitwelo karibu na fukwe na walivitangaza karibia nchi nzima.Watu wamegaiwa ila kwa bahati mbaya sana kuna mdau kapata eneo la kama mita za mraba 2,792 hivi chenye gharama ya takribani milioni sita hivi lakini amesema atashindwa kulipa kwani hali yake kiuchumi sio nzuri na ametamani kama kuna mtu atajitokeza akinunue ili yeye angalau arudishiwe dhamana yake ambayo ni laki mbili na elfu ishirini tu.

NB:Malipo ya kiwanja kwa kadri ya halmashauri yanapaswa kufanyika ndani ya mwezi mmoja kutoka tarehe 15,April-15,May-2014.Mwanajf ambaye angependa akinunue nicheki pm kwa mawasiliano zaidi.Karibuni​
 
Back
Top Bottom