Wanatafutwa wawekezaji maeneo ya madini yaliyopimwa

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,516
1,500
Wakuu salaam,
Kichwa cha habari kinahusika.Ninaomba kama kuna mtu yupo nje ya nchi ama ndani ya nje mwenye exposure na uzoefu wa kutosha tuwasiliane kwa pm kisha tutapeana contact kwa mawasiliano zaidi.

Kuna vitalu vya madini ya dhahabu na copper ambavyo tumeshavifanyia utafiti na business plan tunayo.Tunahitaji mtu ambaye ataweza kutulink na investors kwa ajili ya kuingia ubia ama kuwauzia if possible.Shukrani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom