Hivi kwanini marehemu Karume alikuwa hana umaarufu kimataifa?

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,516
1,500
Ndugu wanaJf nimesikia viongozi wengi wakitajwa kwenye ukombozi wa Bara la Afrika kimataifa lakini huyu marehemu Abeid Amani Karume simsikii kabisa.Kitu gani hasa kimemfanya akakosa umaarufu kiasi hicho?Najiuliza pengine ni udhaifu wake wa kushindwa kutawala na kuikabidhi nchi kwa mkoloni mweusi tanganyika au ni kitu gani hasa?

Naomba tupeane darsa bila jazba tafadhali.Mabingwa wa historia na hadithi mnakaribishwa.cc Mzee Mwanakijiji Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom