Semina elekezi namna ya kupost thread zenye mvuto na wachangiaji wengi

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,520
459
Salaamu wandugu,
Kichwa cha habari kinajieleza.Ninaomba wale magwiji akina Mzee Mwanakijiji Kiranga lara1 faiza foxy AshaDii Yericko Nyerere Pasco wa Jf mohamedi Saidi Nguruvi3,@Zito Mwigulu Nchemba Heaven on Earth Excel Tyta na mabingwa wote wa majukwaa yote ambao wanafahamika kwa thread zao kali.

Watoe uzoefu wao kwa members wengine wa zamani na wapya namna bora ya kuwasilisha hoja katika majukwaa husika na kuweza kufikia lengo la kupata wachangiaji wengi na hatimaye kuelimisha,kuburudisha na kuchangamsha katika mapana zaidi.Karibuni sana.
 
Last edited by a moderator:

Kwanza wewe binafsi unahitaji kurudishwa darasani, heading na content haviendani.

Yeyote atakayefunguwa uzi atajuwa wewe ndio unatowa semina elekezi kumbe hakuna lolote blabla tu.

ushauri: ukiwa huna cha kupost soma tu thread na post za wengine inatosha kabisa.
 
Nashukuru kwa mchango wako.Nimejifunza iyo ni namna bora pia ya kufanya thread iwe na mvuto na kuwa na wachangiaji wengi.Mkuu Matola unaweza taja sababu nyengine?Au uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Mmoja wa hao uliowataja, tayta, anasifika humu jamvini si kwa thread ila kwa picha za aina zote. Mwombe picha ya jini, atakuletea!, picha ya mtoto anameza nyoka utaipata! nk. Mkali sana huyu.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa mchango wako.Nimejifunza iyo ni namna bora pia ya kufanya thread iwe na mvuto na kuwa na wachangiaji wengi.Mkuu Matola unaweza taja sababu nyengine?Au uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?Karibu.

Umeanzisha hii thread ili Matola aje kutowa sababu?

Au umeanzisha hii thread kujuwa uwezo wa Matola kufikiri?

Kuna kitu gani cha kutumia akili kwenye thread urojo kama hii?

Msivamie JF kichwa kichwa kama una nia ya dhati ya kujifunza kujenga hoja tembelea jukwaa la Great thinkers na jukwaa la intelligence na utajifunza vitu vingi na huwezi tena kuja na thread ya kizembe kama hii.
 
Ahahahahah..Mbona povu mkuu?Pole sana na unisamehe kama nimekukwaza.Maisha mema.
 
Povu? kivipi? wewe unataka semina ya jinsi ya kujenga hoja na mimi nimekueleza semina hizo zinapatikana majukwaa yepi halafu unasema povu? for what?

Huna adabu.
 
Naogopa kukujibu vibaya.Jf ni zaidi ya tunavyoifahamu unaweza kuta unawasiliana na baba yako,mama yako au ndugu na jamaa tunaowaheshimu.Nimekuelewa mkuu kama iyo semina ipo nipe link hapa.Tofauti na hapo mada yangu imejikita katika uanzishaji semina ya uanzishwaji threads bora majukwaa yote iwe ni Great thinkers,Siasa,MMU,Chitchat,Dini na mengine yote na kila jukwaa lina mautundu yake.Umenisoma?Au bado unataka ligi?
 
Kwanza wewe binafsi unahitaji kurudishwa darasani, heading na content haviendani.

Yeyote atakayefunguwa uzi atajuwa wewe ndio unatowa semina elekezi kumbe hakuna lolote blabla tu.

ushauri: ukiwa huna cha kupost soma tu thread na post za wengine inatosha kabisa.

Safi sana, umemwambia ukweli. Yani alivyoandika ni kama udaku. Kichwa cha habari kinaonesha yeye ndo alokuja na semina elekezi, lakini kumbe ndani yeye ndo anahitaji semina elekezi. Hii ni kutupotezea muda. Sisi tulifungua ili tusome hayo maelekezo yako kumbe longolongo tupu
 
Back
Top Bottom