Search results

  1. Moviez Tz

    Mbona sipati wateja kwenye tovuti yangu ya Elimu (course website)

    Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
  2. Moviez Tz

    Jinsi ya Kupata Free unlimited internet?

    Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data. Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
  3. Moviez Tz

    Ndoo zimeng’ang’aniana, nazitenguaje?

    Nina ndoo zangu mbili magetoni, nilizibebanisha nikazifanya kiti kwa muda wa two weeks. Zote zilikuwa na maji yamejaaa. Saivi nafungua mifuniko zimegoma kata kata. Nasolvuje hili tatizo?
  4. Moviez Tz

    App Gani inaweza pata watumiaji Wengi Tanzania

    Niko kwenye market research, Nataka nitengeneze application inayo offer service flani. Service gani inahitajika sana Tanzania ? Mwana JF mmoja kaniambia iwe ya ajira na Tenda
  5. Moviez Tz

    Ushauri Jamani on App Advertising

    Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo Mwanza. Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya...
  6. Moviez Tz

    Ushauri Jamani on App Promotion [emoji120]

    Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo Mwanza. Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya...
  7. Moviez Tz

    Ushauri Jamani on App Marketing [emoji120]

    Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo Mwanza. Sasa nataka nivute laki tano chapu kwenye mfuko wa mauzo yake, niipromote hii app na ndani ya...
  8. Moviez Tz

    Hivi n Digital Product Gani Mbongo anaweza toa 10K kuinunua?

    Digital product ni vitu kama mziki, video, movie, games, documents au file lolote lile ambalo lina access Mtandaoni tu. Nataka nisakue watu 1000 wakununua Digital product ya 10k niingize hiyo 10M mfukoni [emoji23], wazungu mbona Hua wananunua kwa mbongo nitauza nn jamani ?
  9. Moviez Tz

    Tunatengeneza website na apps. KARIBU

    Kama unahitaji website kwa ajili ya Biashara yako au app kama vile za movie, mziki, kubet, social media na vingine vyote. Malipo ni baada ya kazi. Karibu 0692782826
  10. Moviez Tz

    Tunatengeneza Website na Apps Kwa wenye uhitaji

    Kama unahitaji website kwa ajili ya Biashara yako au app kama vile za movie, mziki, kubet, social media na vingine vyote. Malipo ni baada ya kazi. Karibu 0692782826
  11. Moviez Tz

    Kwa mahitaji Ya Website(tovuti) au App nicheki

    Kama unahitaji kutengenezewa website ya Biashara yako au website mbalimbali kama za mziki, movie, kubet, social media na vingine vyote. Wasiliana nami 0692782826 malipo ni baada ya kazi
  12. Moviez Tz

    Natafuta Chumba Cha Laki moja (miezi mitatu)

    Manzese, ubungo, magomeni au mabibo 0749220083
  13. Moviez Tz

    Natafuta Chumba cha 100,000/miezi mitatu

    Hasa mazingira ya Mabibo, Mazense na Ubungo, 0692782826
  14. Moviez Tz

    Dalali mkazi wa Dar, ninakatenda Kadogo unisaidie

    Nilikua nauliza kama naweza pata Chumba maeneo ya upanga, posta au eneo lolote Karibu na chuo cha CBE. Kwa Tsh.100,000/Mwezi. Kama ikiwa ngumu, Basi Fremu yenye sehem ya Biashara na kachumba kadogo kwa ndani ambapo naweza lala Nichek 0749220083
  15. Moviez Tz

    Nani anajua Kuextract Telegram Group Contacts to Excel

    Jamani anaejua kuscrape telegram group members Contact na kwenda kuzipang kwenye excel vizuri, toa neno hapa, tuongee biashara
  16. Moviez Tz

    Mitandao yetu ya Bongo ina limit ya kutuma SMS kwa siku?

    Labda kuna limitation ya kwamba mwisho kutuma sms kadhaa au labda kutuma sms nyingi sana kwa mda mfupi unaweza onekana suspicious ukablokiwa, nauliza hili swali labda kama unatak kufanya matangazo kwa njia ya sms.
Back
Top Bottom