App Gani inaweza pata watumiaji Wengi Tanzania

Apps za ngono,mpira,bongo flavor utawakimbia views mwenyewe.
Hata magroup ya ngono ya wasap yanajaa haraka sana kuliko mengine
Hapo kwenye ngono iweje, I mean nidisplay ngono za tz tu au zote coz free porn web n nyingi. Iwe kama ya dating, kununua malaya au iweje. Pia Tatizo kubwa n kwenye marketing inakuaj
 
Uza bidhaa halisi hasa ambazo ni zako mwenyewe (eshop) na hizo bidhaa zisiwe zinaweza kupatikana sehemu nyingine kirahisi

Watanzania ni ngumu kukupa hela kwa online content hata kama utafundisha namna ya kutibu saratani kwa siku Tatu inaisha hakuna mtu wa kukupa hela zaidi ya ahsante na ubarikiwe

Dating site kuitangaza mwanzoni siyo kazi rahisi social media zote haziruhusu ads za dating sites
 
Back
Top Bottom